Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

Shukran sana mkuu kwa Elimu yako hii.
Kuna changamoto moja ambayo niliwahi kukutana nao wakat naApply Masters huko German.

Ni ivi nilipata Sponsorship akakubali kunilipia only School fees the rest nakomaa mwenyewe.

Nilipokuja kuchunguza nikagunduwa kile chuo hakitambulik na TCU.

Sasa swali liko hivii;;
Najuwaje kama chuo kile Kinatambulika na TCU au hakitambuliki!

Maana wengi wamesoma mavyuo ya Nje kirahisi halafu wanaporud huku wanajuta kupoteza muda wao kusoma Ulaya na kurud na "Unrecognized certificate University"
Inabid ufatilie chuo kwa undani zaid, kama kipo recognized..if am not mistaken kuna kitu wanaita H+ jaribu kuangalia km kipo ranked H+ then ni safe kuchagua
 
Heko kwa kufafanua vizuri mkuu. Ila Naomba nikuongezee kitu Muhimu zaidi walichofanya wajeremani ili kuziba mianya ya mabaharia wazamiaji kwenye hili Kwani wahindi, wapakistani, wabangladeshi, wanigeria walitaka kufilisi social welfare benefit ya mjeremani kwa kujifanya wanaenda masomoni kumbe walikuwa wanataka kuzamia tu.

Inajulikana wazi kwamba German education is dirty cheap with excellent infrastructure and world class facilities hivyo iliatract watu wengi kutaka kusoma German but wazamihaji wa kutaka kuishi na kuhaso tu walikuwa wengi kuliko Wakusoma. Hivyo wakaintroduce system moja makini sana ya kuziba mianya ya wazamihaji kupenya kiwepesi.

System hii iliwataka wanafunzi wote wenye vigezo kufungua kwanza "online blocked bank account" wakiwa nchini mwao ambayo hawatakua na total control nayo yenye jumla ya million kama 22 hivi za kibongo ambapo mwenye account anapewa access ya kutoa €650 kwa kila mwezi. Kwa hiyo mwanafunzi alitakiwa kubalance asitumie zaidi ya Euro 650 kwa mwezi. Na hiyo account unaifungulia online unadeposit hiyo pesa kwenye Deutsche Bank ya Germany then inablockiwa na unakuwa huna access na control ya moja kwa moja sababu awali wanaigeria walikuwa wanaazima hela kwa Mtu wanaingiza kwenye Deutsche Bank then wanapewa visa kirahisi afu wanazitoa hela zote na kurudisha walikozikopa na kwenda kuishia mitaani huko Berlin na kusumbua serikali ya ujeremani kwenye welfare support.

"By mandate, a student planning to study in Germany is supposed to prove that he/she can afford his/her stay in Germany for at least the first year of study. For this, the government has decided on a particular sum. As per the Federal State, a student is required to prove that he/she have access to at least 659 euro per month for the first year, or 7,908 euro total. This, in turn is done by means of opening a blocked account."

Pale embassy hawana shida wakipatiwa hii document from Germany Deutsch bank ikithibitisha mkwanja ushatumwa na umeblockiwa kitu ni fasta tu unapewa visa yako. Na hapa ndipo ugumu unapokuja kwenye kusoma Germany lazima uwe na mkwanja wako au wa mdhamini alisi na alietayari kukudhamini afu wao ndio waushike ndio usome bure unless husomi kwa mjeremani na utaendelea na kusoma VETA.

Hivyo tu!
Kwangu naona njia rahisi kuzamia Kiwanja ambazo ziko tried and tested ni 1.kuomba kwenda kama mwanamichezo ama msanii kuhudhuria mashindano,tamasha,maonyesho ya kazi za sanaa.

2.Kwenda kama mtalii

3.Kuomba kwenda kuhuzuria maonyesho ya kibiashara,conventions,exhibitions,mikutano.

4.kwenda kusoma lugha

Ubalozi wanachoangalia ni dokumaa sahihi na kama muombaji anafanana na dokumenti alizoleta

Kuingia haijawahi kuwa tatizo,changamoto kubwa ni namna ya kubaki na kubaki kwako kukawa na maslahi.na kupata makaratasi.

kama lengo lako ni kuzamia na kwenda kwa gia ya shule huwezi, pambana upate viza hata ya wiki moja tu,usilazimishe kupata ya muda mrefu.kuna mshkaji alipewa ya siku sita saiv ana miaka 10 na familia juu hukohuko alipoingia kwa makubaliano ya kukaa wiki.

La muhimu uwe na mwenyeji huko ugenini unakotaka kwenda na ujue sheria zikoje na uwezekano ya kupata makaratasi na je kuna maslahi au laa?
 
Humble African umefunga pm? check emali plz.
Tafuta university moja inaitwa Newfoundland iko Canada, hawa jamaa ada zao ni very affordable and reasonable pia unaruhusiwa kulipa kwa instalment zaidi ya 5 kwa mwaka whole academic year.

Na Newfoundland ndio mji peke wenye watu wakarimu kuliko mji wowote ule Canada.. Ndio mji pekee ambapo wakazi wa pale huwaomba samahani wageni ikitokea kuna hali mbaya ya hewa.... Yaani wanasemaga... "I'm sorry for the bad weather sir" utadhani wao ndio wamesababisha hiyo hali mbaya ya hewa. Kuna tukio jingine kubwa la kikarimu walilifanya hadi Dunia ikashikwa na butwaa. It's absolutely great place to be on earth.
 
Vipi kama nitaamua kuwatumia hawa jamaa wanaolink wanafunzi na vyuo vya nje??mfano global education link?kuna urahisi wowote au sawa tu na kufanya mwenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni rahisi sana kama utakuja kwa njia ya masomo katika postgraduate level yaani uwe umesoma degree ya kwanza nyumbani kwanza na ufaulu kweli kweli sio kwa cheti chenye GPA ya gentleman..atleast minimum iwe GPA iwe lower second ya let say 3.3 au 3.4..ukiapply chuo huku hawakuachi na pia uwe na means yakueleweka financially yakujikimu kimaisha...mm sikufanyiwa hata interview ubalozini.
Duh hii gpa sas mbona wengine tumezungusha saan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wadangaji nchi nzuri ya kudanga ni ipi jaman ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama sio wa kutoka nje ya nchi sio wa kutoka tu

Kuna siku niliweka post humu kuhusu Canada na program yao ya miaka mitano ambapo wanatafuta raia million 1 jamaa wanai promote kweli hiyo policy.

Moja ya watu wanaopewa kipaumbele ni wanachama wa jumuiya ya madola na waziri anae promote hiyo sera ni mwenye asili ya somalia kuonyesha africans ni watu wanaowataka hakuna hata mtu alieuliza swali utaratibu ukoje; kinachotokea waombaji wanakuwaga Pakistan, India, Bangladesh mpaka wanafuta na program zenyewe sisi waafrika tumelala.

Halafu ndio wafuate njia hizi complicated, wakuondoka wanapataga tu mbinu na wa kubaki ni kuwabaki tu
 
Kama sio wa kutoka nje ya nchi sio wa kutoka tu

Kuna siku niliweka post humu kuhusu Canada na program yao ya miaka mitano ambapo wanatafuta raia million 1 jamaa wanai promote kweli hiyo policy.

Moja ya watu wanaopewa kipaumbele ni wanachama wa jumuiya ya madola na waziri anae promote hiyo sera ni mwenye asili ya somalia kuonyesha africans ni watu wanaowataka hakuna hata mtu alieuliza swali utaratibu ukoje; kinachotokea waombaji wanakuwaga Pakistan, India, Bangladesh mpaka wanafuta na program zenyewe sisi waafrika tumelala.

Halafu ndio wafuate njia hizi complicated, wakuondoka wanapataga tu mbinu na wa kubaki ni kuwabaki tu
Mkuu uwe unaweka tu sio mpaka watu waulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom