Njia rahisi ya kufika nchi yoyote Duniani

Tafta nauli tu, na passport
Anzia nchi ambazo sisi Tanzania visa ni free, au visa on arrival

Safi. Niliona kwa mfano kazi ya kujitolea kufanya kazi kwenye hostel miaka miwili sweden, ukipata hii vipi.

So jipange tu nauli hii njia ni tahsi sana
ndugu yangu naomba niambie nchi ambazo wabongo visa ni free passport ninayo tayali hapa naungaunga nauli tu tena hiyo ya sweeden ndo nzuri maana ndo nchi nazosikia ninzuri kupiga box
 
Dumelang Asante Kwa ukarimu wako Kwa uzi mzuri.
Chakuongezia Kwa watakao bahatika kwenda nchi hizo NI USAFI wa mwili maana Watu wengi wanavaa vizuri lakini hawatumii dawa za MAKWAPA na MDOMO hubadilisha hali ya hewa.Utachukiwa Au kupendwa Na wenyeji kuanzia hapo
 
Back
Top Bottom