Njia rahisi ya kuepuka kifo. Siri ipo kwenye saa 72

ROOM 47

JF-Expert Member
May 23, 2022
1,332
3,962
Habar zenu wana jf..hope mpo salama tena wazima wa Afya

Twende kwenye mada husika...ni jinsi gani binadam anaweza kuepuka shambulio la kifo au umauti...big siri ipo kwenye masaa72hrs hapa unahitaji umakini sana jinsi ya kufanya Calculation zako ziwe sawa.

Kwanza kabisa kila binadamu au kiumbe chochote hapa ulimwenguni yaani Mwenyezi Mungu amekiumba kwa muda maalumu tena kwa kutumia calculation ambayo imebalance kotekote ili kuepuka population decrease na population increase hisishindwe kuendana na nature asili ambayo kaiweka ulimwenguni.

Asili ya Mungu mwenyewe alijitoa kwenye muda ndo maana yeye anajulika kama alfa na omega cos alijua kama angejiwekea kwenye muda basi hata yeye ingefika muda angepotezwa na muda huo huo ndo maana anakumbia mim Mungu wenu sina muda maalumu wa kukupa baraka kwamba hawai wala hachelewi kwa iyo unavyoomba mungu omba bila kuchoka cos hana muda wa masaa, siku, mwezi, hata mwaka. Kwaiyoo Mungu hana Muda cos anaujua muda hauna masihara na kilicho na uhai

Siri ya muda kwa viumbe hai hapa nazungumzia kila chenye uhai kina muda in calculation tangu kipate uhai kutoka kwa Mungu ndo maana mtoto anaweza akaziliwa leo na akafa hapo hapo iyo calculation ipo Kwenye72hrs tangu upate uhai kama nilivyo sema hapo nyuma kwamba Mungu kabalance uhai kwa viumbe hai kwa makundi na muda maalumu ndani ya masaa72hrs. Hapa kuna viumbe kavipa uhai wa masaa72hrs Mara 100 kuna vingine massa72hrs Mara 1000 nakazalika lakini kavigroup ndani ya masaa72hrs

Hapa ntaeleza how to avoid death kwa kutumia iyo hesabu ya masaa72hrs hapa kua makini kidogo cos mim na ushuuda ni nao na nimeona matukio mengi ya kifo ukihesabu vizuri yanaangukia kwenye72hrs before and after tukio la kifo kutokea nilishawahi kumuuguza mgonjwa nikamweka kwenye hesabu hiz na kweli nilivyo muuliza matukio yake ya nyuma ambayo alinieleza alioyafanya au yaliyomtokea72hrs kabla ya kuonana na mimi

Hapo ndipo nikaanza kumweka kwenye hesabu ya masaa72hrs yajao ilipofika 65.59hrs alianza kulalamika anahisi kiu kikali sana nikakimbia kumwita doctor huku nikiwa makini na muda kwenye saa yangu doctar anafika ilikua ni 70.45hrs hapa mgonjwa ndo akazidi kupata hofu ya kifo doctar kumchek akasema aongezewe drip ila kama matumaini doctor alikua ameshapoteza japo mgonjwa alikua bado hai. 72hrs jamaa akafiriki ile natoka nje baada ya kuambiwa na doctor nakuta pale hospital watu zaidi ya saba wanalia wamepoteza ndugu zao kuanzia siku iyoo nikaanza kufanya uchunguzi wa masaa72 ya uhai na massa72 ya kifo.

itaendelea next.......
 
Kifo ni kifo mda ukifika kinakufikia iwe kupenda mwenyewe au kupendwa zaidi kama tunavosema
 
Siku hizi simu zinaita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom