mkuu umefanyaje. Maana mi kwangu imekataaIko poa kwenye simView attachment 421183
Nashukuru mkuu, mimi naona channel 4 tu hapa sijui ndo hizo. Mimi ugonjwa wangu ni Premier League saidia mkuuSalaam wana JF.
Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.
Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.
Mchana mwema.
Fuatisha uzi vizuri link za SKYSPORT zishawekwa na mdau tayari me nishatizama game za leo ikiwemo ya wachovu arsenal wametoka nunge...Nashukuru mkuu, mimi naona channel 4 tu hapa sijui ndo hizo. Mimi ugonjwa wangu ni Premier League saidia mkuu
Mkuu hata mimi ilikuwa inasumbua kwenye simu, badilisha extension kutoka kwenye kwenda mp3 au mp4Kwangu linakuja file, kwa hiyo unafanyaje na Hilo file
Mkuu hata mimi ilikuwa inasumbua kwenye simu, badilisha extension kutoka kwenye kwenda mp3 au mp4Nimefanya hivyo pia lakini haionyeshi
Ndio kitu gani tena hicho kinaitwa Nje ya Nchi... kinauzwa wapi?niko nje ya nchi ntafanyaje
Sky Sport na BT Sport.Ungetaja kabisa channel unayotaka ili iwe rahisi kui edit mkuu
hahaha siko tanzania ila nataka kujua kama hiyo inawezekana piaNdio kitu gani tena hicho kinaitwa Nje ya Nchi... kinauzwa wapi?
Nje mambo ya bure bure ukinaswa fine ni kubwa mno... humu panawafaa wapenda dezo
mkuu, file la sky sport 1 linafunguka lakini linasema error, ntashukuru kama utanisaidia file jingine la sky sports 1.Sky Sports zipo nyingi. Kuna
Sky Sports 1,
Sky Sports 2,
Sky Sports 3,
Sky Sports 4,
Sky Sports 5,
Sky Sports F1 na
Sky Sports News HQ
Mimi siyo mpenzi sana wa soccer hivyo sizijui kiundani channels za EPL. Ila ngoja niikupe moja ambayo nili edit jana. Sky Sports 1
Hivi Channel za Bongo kuna watu bado wanazitizama?weka chanel za bongo na za mizk ka trace, mtv base, chanl o etc
Kwenye vlc nimetizamia kwenye file hilifile la sky sports 1 linagoma kufunguka, lina display error ukishafungua kwentw vlc. kama file jingine llitapatikana ntashukuru, ili game ya Chelsea na man utd tusiikose