Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,564
- 21,068
Sasa mkuu sikia nikuambie. Katika vitu ambavyo hautakiwi kucheza navyo ni maeneo ya uzazi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah toeni ushauri bhasi
Kwanza umesema eti mshikaji ameenda kupima akaambiwa, yani kaambiwaje? Alifanya vipimo vya magonjwa ya zinaa ama alienda pharmacy akajielezea then akapewa dawa kiholela tuu?
Kitu sahihi anachotakiwa kufanya ni kwamba anatakiwa amueleze huyo mpenzi kilichomkuta, waende kwa pamoja hospitali wakaone wataalamu ili wapime ni ugonjwa upi hasa umewakumba ili wapate tiba sahihi na kwa wakati.
Over.