ndio kwani kanyimwa kwenda na watoto huko? maisha ni haya haya kwa nini kujichoresha kwa watu? kwani kuishi nje ya nchi ndo huwezi kulea watoto? au ni lazima watoto walelewe hapa tz huko nchi zingine oxygen hakuna au?Smile wewe kiboko sasa atawapeleka kisha ndo mama asafiri?
mke abaki atunze watoto, hela mnazotafuta ni kwaajili ya maisha mazuri ya familia.
Hela haijai, inaweza subiri
ila malezi anayostahiki mtoto leo ukimpa kesho umechelewa.
sijalala nyumbaniUmekunywa valuu asubuhi asubuhi?
sijalala nyumbani
nimeelewa baba aende nao then atarudi naoHapo sawa,sasa soma tena thread halafu uchangie.Naamini utaielewa!
miezi mitatu hapana achana na hiyo safari wape wengine waende,the way i love my babies i cant wait 3month without my care nononononononoo think twice other wise unawaacha chini ya mikono ya mdogo wa mke wakike na sio shangazi mtu.kwamba awapeleke kwa ndugu? manake wa kuja kukaa nao nyumban kwake hakuna ila atakaa miez 3.
inategemea na uhusiano wake na hao ndugu, kuwa na mji hakumaanishi huwezi kumsaidia ndugu yako kwenye issue kama hii.ishu ndugu wote wana miji yao so ni ngumu kwa mtu kuja kukaa nao unless wapelekwe kwa ndugu.
kwa hiyo unaniambia wazazi wastop mambo yao yoooote kwa kipindi wanacholea watoto?gfsonwin sorry kwa maneno ambayo unadhani ni ya ukali.
Iko kama hvi wazazi mara nyingi wanatafuta hela kwa ajili yao na watoto wao ila malezi bora hutoka kwa mzazi akiwa karibu na mtoto kumuchia mtu mwanao anaweza jifunza tabia tofauti na aliyokuws nayo hivyo kuleta shida baadae. Ni hayo tu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nivea, unaongea kama mama wa nyumbani au mfanya biashara. kama ni mfanya kazi na unataka kuendelea kwenye career yako huwezi kuwaza hivimiezi mitatu hapana achana na hiyo safari wape wengine waende,the way i love my babies i cant wait 3month without my care nononononononoo think twice other wise unawaacha chini ya mikono ya mdogo wa mke wakike na sio shangazi mtu.
nimeelewa baba aende nao then atarudi nao
wewe ni mume wa mke na watoto 2. unaish nje ya nchi, mkeo yupo tanzania sasa mkeo kapata safari ya kikaz kwenda nje ya nchi je utakubali aende ama utakataa? nchi anayokwenda ni tofauti na uliyoko wewe.
yeye anakwenda kikazi na wewe uko huko kikazi. wewe kazi yako ni contract ya muda mrefu yeye ni safari ya muda mfupi. nyumban watoto ni wadogo sana ambao kubaki peke yao pasi usimamizi wa mzazi ni ngumu utafanyeje?
je wewe mama ama wewe baba mtafanyaje?
je unafikiri hela mnazotafuta wewe baba na mama watoto wanazifaidi kwa stail hii ya maisha?
all the best my dearnisamehewe bure mi siwezi,@fp
poa......FP ninamaanisha lazima muda wa kuwa na watoto uwepo na muda wa kazi pia uwepo si kila saa kazini huna muda na watoto.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums