Age 28
mwanamke asiyefuata maagizo yako hakufai, hapo ni girlfriend je ukimweka ndani itakuwaje? kipindi cha relation watu huwa wanaficha makucha, huyo kama hapo ndo kaficha makucha alafu ndo anafanya hayo na anashindwa kukutii, chukua maamuzi magumu utapata mwingine tena mzuri zaidi yake baada ya muda mfupi
kwenye mapenzi sidhani kama ni kuhusu utii kwa.kila kitu, ila kuna vitu hupaswi kufanya kwa sababu sio sahihi kuvifanya. Ama pia vinamuumiza mwenzio. Ndio maana twaambiwa usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa. Amuulize huyo chaurembo, utajisikiaje ukiwa mgonjwa unafika kwangu na kumkuta mdada ambae nawasiliana nae kila siku kaketi ananifariji?mwanamke asiyefuata maagizo yako hakufai, hapo ni girlfriend je ukimweka ndani itakuwaje? kipindi cha relation watu huwa wanaficha makucha, huyo kama hapo ndo kaficha makucha alafu ndo anafanya hayo na anashindwa kukutii, chukua maamuzi magumu utapata mwingine tena mzuri zaidi yake baada ya muda mfupi
kwenye mapenzi sidhani kama ni kuhusu utii kwa.kila kitu, ila kuna vitu hupaswi kufanya kwa sababu sio sahihi kuvifanya. Ama pia vinamuumiza mwenzio. Ndio maana twaambiwa usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa. Amuulize huyo chaurembo, utajisikiaje ukiwa mgonjwa unafika kwangu na kumkuta mdada ambae nawasiliana nae kila siku kaketi ananifariji?
ni muhimu kuheshimiana na kuhakikisha kunakuwa na mutual understanding kuna wakati ambapo mtu una-sacrifice kitu unachokipenda kwa ajili ya mwenzio endapo umeona haridhishwi na mambo fulani fulani hv. ukishindwa kufanya hivyo hence no care at allkwenye mapenzi sidhani kama ni kuhusu utii kwa.kila kitu, ila kuna vitu hupaswi kufanya kwa sababu sio sahihi kuvifanya. Ama pia vinamuumiza mwenzio. Ndio maana twaambiwa usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa. Amuulize huyo chaurembo, utajisikiaje ukiwa mgonjwa unafika kwangu na kumkuta mdada ambae nawasiliana nae kila siku kaketi ananifariji?
Mwanaume neno lake moja tu,la pili linafuatana na maamuzi magumu,mwambie kama anaendelea kuwasiliana na jamaa then ww huwez kuendelea naye..jiamini kaka hao wachumba wako kibao
mi ndo nayakataa haya mambo!
Ahahahahahaaaaaaa, nisamehe mwalimu!
unafikir weye best!si yule uliyemnukuu!mtu unaweka umombo halafu huuweki vizuri si mambo ya aibu haya!hebu niongee lugha niliyojifunza chini ya mwembe mie!
Jaman me na mchumba wangu my wife to be, kuna jamaa ambaye najua anamfuatilia na nishamwambia my girl kuhusu huyo people na kumuonya astop communicatn nae bt cha ajabu nikishika phone yake call list nakuta na ya huyo msela nikimwambia anadai ni normal friend nisihofu cha kushangaza mchumba wangu alikuwa anaumwa nikaenda kumuona kwao bt nikamkuta mshikaji ndani kaketi kaja kumuona, hapa nashindwa kuelewa is just friendship au coz nishamwambia astop mawasiliano bt they are stil, njia panda is she love him or friendship
shtuka!
Mwanaume neno lake moja tu,la pili linafuatana na maamuzi magumu,mwambie kama anaendelea kuwasiliana na jamaa then ww huwez kuendelea naye..jiamini kaka hao wachumba wako kibao