Njia nyepesi ya kupata mke mwema

Njia nyepesi ya kupata mke mwema

Dunia hii ya utandawazi mkuu, hakuna mtu kama huyo, kuna sehemu atakuwa vzuri na sehemu atakuwa vibaya. Kikubwa n kuvumiliana na kuchukuliana kwny madhaifu yenu.
 
Hayupo. Uwezi pata mtu mkamikifu kwa 100% ila unaweza pata mwenye baadhi ya hayo unayoyaitaji na mwenye kukubari kubadirika ukambadiri akakamilika. Ata biblia imeandikwa " wakamfanyia msaidizi wakufanana nae" neno "wakufanana nae" lina maana tofauti na "anaefanana nae" sasa jua uwez pata anaefanana na ww ila unaweza pata wakunafana na ww. Maana yake ni hii jinsi utakavyo react na ku-behave mbele yake ndivyo na yy ataanza kuwa hvyo siku moja.
 
Suleiman katika kitabu Cha muhubiri anasema" katika wanaume 1000 aliona mmoja Ila katika wanawake wote hakuona " Sasa wewe endelea kutafuta ukipata usisahau kutuletea mrejesho.
 
Hao wanapatikana mbinguni ni kati ya wale mabikra 72!
 
Mkuu unatafuta mke au mdoli?

Nb: Mke mwema anatoka kwa Mungu
 
Back
Top Bottom