Kapetibovu
Member
- May 2, 2020
- 60
- 58
mmmh sawa mkuu endelea kutafuta mwenye heshima tu. 🙇🙇
mmmh sawa mkuu endelea kutafuta mwenye heshima tu. 🙇🙇
Nyongeza, na ili Mungu akupe mke mwema unatakiwa usichoke kumuomba kuwa na subra, sio kukaa tu kugegedana,hutopata mke mwema.Mkuu unatafuta mke au mdoli?
Nb: Mke mwema anatoka kwa Mungu
Muhimu ni kupata mtu atakayekupenda kwa dhati, hizo nyingine mbwembwe tu
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili kupata pia atakupa wakufanana nae Kama wew hizo sifa huna my dear utapuyanga Sana ila ukimpata uje utoe mrejesho Kama ulivyotoa taarifaHabari wakuu,
Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena.
Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani nyepesi ya kupata mke mwema? Yaani yule mke wa sogea tukae ambaye anaamini mume ana nafasi kubwa sana kuliko wazazi kwenye ndoa.
Mke mnyenyekevu na mchamungu, asiyeyumbishwa na wachungaji wajasiriamali, asiyejipendekeza kwa mabosi zake, yaani mke asiye na tamaa.
Wapi wanapatikana kwa urahisi?
Mke asiyejua club, hajawahi kudanga, haigizi maisha
Mke mwenye bidii ya kazi na roho nyeupe, amejaa upendo kwa watu wote.
Mke mkarimu, hajui tusi wala kilevi, ana sura ya kike na mwili wa kike, mke kijana hajatumia Ujana vibaya wala hajafika 30
Mke anayekula kwa kiasi na mazoezi kidogo, hana mafuta ya hovyo wala manyama uzembe
Mke anayejua maisha ni kutafuta, tunaanzia popote
Mke ambaye dunia haijamuacha nyuma anajua ongoing issues ña ana degree ya kweli sio chura pekee
Wapi anapatikana kwa urahisi?
Kama yupo mwambie vijana tunamtafuta, kama Kuna sehemu wanapatikana mtuambie tukawachukue.
Nawasilisha swali langu, samahani kwa uandishi mbaya ni madhara ya kusoma sayansi nchini
👏👏Jinsi unavyotaka mke wako aweje, ndivyo na wewe ujitengeneze Kama unavyotaka mkeo awe. Mungu atakupa wa kufanana na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏Muhimu ni kupata mtu atakayekupenda kwa dhati, hizo nyingine mbwembwe tu
😂😂Mtoa mada hao unaowatafuta wakianza kukuchambua na wewe hutakuwa huna sifa za kuwa mume wao😂😂😂😂
Wapo ....acha nipuyange ila wafunzeni mabinti zenuMungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili kupata pia atakupa wakufanana nae Kama wew hizo sifa huna my dear utapuyanga Sana ila ukimpata uje utoe mrejesho Kama ulivyotoa taarifa
Utafutaji mwema [emoji55]
😂😂👏👏Ngoja kwanza, dada zako wanasifa hizo[emoji32]
we baba ako alifunza dada zako au we umefunzwa puyanga tu mkuu
Chief unataka kile kitumbua ambacho hakijaguswa na nzi,,Kiufupi ktk macho ya kibinaadam huwezi jua yupi mke au mume sahihi hapo ni kudra za Allah akujalie tu, lkn mpaka sasa nimeamini huwezi kumpata mwanamke mwenye sifa zoooote utakazo ,awe na elimu ya huu ,awe mnyenyekevu , hajautumia ujana sana, awe hana tamaaa, nk hapo utatafuta sana na mwisho WA cku utaonekana ww ndio shida, swali la kujiuliza je ww umetulia? Je ww huna tamaaa? Je ww mcha mungu? Maana unatafuta mwanmke asiekuwa na tamaa na ukimpata bado ww unakuwa na tamaaa ya wanawake wengine why?
Usitafute mwanamke mtiiifu ikiwa wewe sio mtiifu*
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upoWewe kabisa..?!!
Naomba niseme semi moja tu..
MUNGU na waungwana shetani na wahuni!.[emoji28]
Hawa wa Miaka 14-17 huwa watulivu sana ikiwa hawatazinguliwa na mwanaume wa kwanza
Hapo kwenye wa kufanana naye... Nakaziawe baba ako alifunza dada zako au we umefunzwa puyanga tu mkuu
Ila Mungu atakupa wakufanana nae Kama wewe upo hivyo hakika utapata wa hivyo Tena umeongezea unata bikra 😂😂😂 Kila laheri mkuu
Kabisa mkuu, subira yavuta heri.Nyongeza, na ili Mungu akupe mke mwema unatakiwa usichoke kumuomba kuwa na subra, sio kukaa tu kugegedana,hutopata mke mwema.
Miaka 14-17 si mtoto wa shuleHawa wa Miaka 14-17 huwa watulivu sana ikiwa hawatazinguliwa na mwanaume wa kwanza
Ndo hvyo Sheria zinabana Ila ukiwasubiri wamalize Chuo utakuta wamechakazwa haswaMiaka 14-17 si mtoto wa shule