Njia nyepesi ya kupata mke mwema

Unaweza ukampata sema akiingia ndani mkaishi pamoja akaanza kubadilika pole pole, hasa kimaadili, muonekanao was kimwili nk.
Jitahidi tu kumuomba mungu akupe mke mwema mengine ni ya kupita tu, na wala hizo sifa ambazo umezitaja so za maana sana.

NB:
WATAKUJA WENYEWE KUELEZA.
TUWAACHIE WANAWAKE UWANJA WAO NAO WAJITETEE KAMA KWELI SIFA HIZO WANAZO?
Habari wakuu,

Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena.

Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani nyepesi ya kupata mke mwema? Yaani yule mke wa sogea tukae ambaye anaamini mume ana nafasi kubwa sana kuliko wazazi kwenye ndoa.

Mke mnyenyekevu na mchamungu, asiyeyumbishwa na wachungaji wajasiriamali, asiyejipendekeza kwa mabosi zake, yaani mke asiye na tamaa.

Wapi wanapatikana kwa urahisi?

Mke asiyejua club, hajawahi kudanga, haigizi maisha

Mke mwenye bidii ya kazi na roho nyeupe, amejaa upendo kwa watu wote.

Mke mkarimu, hajui tusi wala kilevi, ana sura ya kike na mwili wa kike, mke kijana hajatumia Ujana vibaya wala hajafika 30

Mke anayekula kwa kiasi na mazoezi kidogo, hana mafuta ya hovyo wala manyama uzembe

Mke anayejua maisha ni kutafuta, tunaanzia popote

Mke ambaye dunia haijamuacha nyuma anajua ongoing issues ña ana degree ya kweli sio chura pekee

Wapi anapatikana kwa urahisi?

Kama yupo mwambie vijana tunamtafuta, kama Kuna sehemu wanapatikana mtuambie tukawachukue.

Nawasilisha swali langu, samahani kwa uandishi mbaya ni madhara ya kusoma sayansi nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mke anayejua maisha ni kutafuta, tunaanzia popote"

80% ya wanawake huo mstari hawaupendi hata kuusikia.
 
Hata sheria zingeruhusu, sasa mtoto wa miaka 17 anajua nini kuhusu ndoa/kutunza familia? Si ni uonevu huo wa haki za binadamu.
Yaan nyie mpuyange hukooo siku mkitaka kuoa ndio mkatafute watoto wadogo et kisa hawajatumika!
Usiniseme kwa Ubaya ameuliza njia za kupata mke mwema. Si lazima ukae nae kwa umri huo unaweza ukakasongesha mpaka 20s ndo ukakaoa. Na sio wakaka wote Ni PB wengine Kama mtoa maada Ni watulivu tuu. Harafu nyie wadada muwe na Huruma tuko sekondar mnaliwa na walimu na wafanya biashara. Mnabeba mijitu mizima mizima. Tukimaliza Shule eti tuwaoe sisi mlotuona watoto wachafu...acha turudi nyuma tuu hakuna dhambi
 
😂😂😂
 
Habari wakuu,

Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena.

Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani nyepesi ya kupata mke mwema? Yaani yule mke wa sogea tukae ambaye anaamini mume ana nafasi kubwa sana kuliko wazazi kwenye ndoa.

Mke mnyenyekevu na mchamungu, asiyeyumbishwa na wachungaji wajasiriamali, asiyejipendekeza kwa mabosi zake, yaani mke asiye na tamaa.

Wapi wanapatikana kwa urahisi?

Mke asiyejua club, hajawahi kudanga, haigizi maisha

Mke mwenye bidii ya kazi na roho nyeupe, amejaa upendo kwa watu wote.

Mke mkarimu, hajui tusi wala kilevi, ana sura ya kike na mwili wa kike, mke kijana hajatumia Ujana vibaya wala hajafika 30

Mke anayekula kwa kiasi na mazoezi kidogo, hana mafuta ya hovyo wala manyama uzembe

Mke anayejua maisha ni kutafuta, tunaanzia popote

Mke ambaye dunia haijamuacha nyuma anajua ongoing issues ña ana degree ya kweli sio chura pekee

Wapi anapatikana kwa urahisi?

Kama yupo mwambie vijana tunamtafuta, kama Kuna sehemu wanapatikana mtuambie tukawachukue.

Nawasilisha swali langu, samahani kwa uandishi mbaya ni madhara ya kusoma sayansi nchini
Hakuna njia rahisi ya kupata kitu chochote kizuri. Kama ingekuwepo, wengi wangeitumia. Kitu kizuri, manake mwenzi mzuri wa maisha, mali za maana, biashara kubwa nk. Ni lazima mtu uzipambanie sana.
 
Usiniseme kwa Ubaya ameuliza njia za kupata mke mwema. Si lazima ukae nae kwa umri huo unaweza ukakasongesha mpaka 20s ndo ukakaoa. Na sio wakaka wote Ni PB wengine Kama mtoa maada Ni watulivu tuu. Harafu nyie wadada muwe na Huruma tuko sekondar mnaliwa na walimu na wafanya biashara. Mnabeba mijitu mizima mizima. Tukimaliza Shule eti tuwaoe sisi mlotuona watoto wachafu...acha turudi nyuma tuu hakuna dhambi
Safii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom