Kioo kivipi
Sasa cha kushangaza hayo marinda hayana makali. Ni jambo la kustaajabisha sana. Yani nawashangaa wale wanaosema mungu hayupo.Marvey yanakatwa na Marinda mkuu
Na hizo likes atazipata kutoka kwa majini wenzake


umenifanya niende kutoa like yangu aisee🤣🤣🤣🤣Mimi huwa najiulizaga hivi mqoundou unakataje marvey bila kutumia makali ama vitu vyenye ncha kali kama kisu?
Faking amazing!
Na wa kiumeHarufu ya marashi ya kuvutia. Hakuangalii machoni, anatazama chini, ni mzuri kupindukia.
Write your reply...kioo hiki hiki cha kujiangalizia unafanya hv,mara nyingi jini kama yuko mita hamsini anakuja usawa wako uwa wanakuwa na pafyumu kali sana inanukia kabla hata hajakufikia .sasa unaweka kioo hata kuegemeza sehemu ambayo unajua atapita mbele ya kioo,akiona kioo hapiti atageuza njia .kioo kinaonesha umbo halisi la jini.
?