Habari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine kitakachoenda kwa jina la NJIA NYEMBAMBA.
Simulizi hii mandhari yake ni huko Sierra Leone, Guine na Liberia. Ikigusia makundi ya uasi na mikono meupe na meusi iliyo nyuma ya haya tunayoyaona kwenye siasa za Afrika.
"Unachoona na kusikia kinatangazwa kwenye vyombo vya habari. Unachosikia kiongozi wako mkuu anasimamia na kukihutubia. Havionekani na mboni yako hiyo macho, wala havisikiki na ngoma yako hiyo ya masikio." - NJIA NYEMBAMBA (2017)
Tukae mkao wa kula. Itakuwa inarushwa mara mbili kwa juma!
Kwa tahadhima naomba niwaite wafuatao. Na kama nawe wapenda niwe nakutag, basi karibu sana.
Shunie Ilankunda1234 @Jumachief @babunamjukuu @kalubule
faplo18 Ochuanilove skfull saneneto @coffeea
Clkey Prisss @chiquititta @EvaristMassawe
kisukari @ganjagal
mwena mkorinto Jackal ADK
Compact Slim5 kulubule kisukari anthonysamanii jaxonjaxon @iddyeba @virusaby
☆Steve
View attachment 483847