Mimi nikiwa raisi kutakuwa na wabunge. 30,mawaziri 12 ,hakuna naibu waziri,
Kuwa mbunge ni lazima uwe na masters na kuendelea,lazima umiliki walau m 100,nitafuta wakuu wa wilaya na makatibu wao,nitafuta ma ded kwenye halmashauri,Kila mbunge atalipwa flat rate 4000000/,Gari zitakuwa za umma ukistaafu unaacha ofisini.nitawekeza sana kwenye sekta ya kilimo cha nafaka na matunda,
Rushwa itakuwa ni wimbo uliosahaulika.watu wataajiriwa kulingana na ufaulu wao na weledi wao.wazee wote watatunzwa kwenye maeneo maalumu kwa hiyari.nitashusha sana ushuru wa vyombo vya moto ili Kila mtanzania amiliki gari au piki piki.vitu kama trecta vitaingia free.nitajenga makazi ya nchi nzima,hakuna Tena Kila mtu kumiliki nyumba yake,badala yake Kodi ya kumiliki nyumba zitakuwa maradufu ,lakini nyumba za serikali zitapatikana kwa Kodi nafuu sana .hakutakuwa na makahaba Wala mashoga,nitahakikisha literacy rate inafikia 98% .waalimu watakuwa ndio wenye mshahara mkubwa kuliko sekta zote.veta zote zitakuwa ni bure.miji yote itapangwa kikamilifu.kutakuwa na viwanda vya kimkakati vya nguo ,magari pamoja na bidhaa za kielectronics