Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

Unataka mtu ajibu unavyotaka wewe

Wewe endelea kuamini unachoamini na mimi niache niendelee kuamini nachoamini

Wewe kusema suggestion nilizotoa ni UTOPIAN ni mawazo yako na sio sheria
Lengo letu ni kuijenga Tanzania kwaio kwenye mawazo ya kimakosa ni muhimu kujifunza na kuyabadilisha. Sina lengo la kukufanya uonekane mjinga bali ni kukuonyesha where you fumbled.
 
Back
Top Bottom