Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

Hivi freemason nao si wanameditate or yao sio kama hii yako?

meditation is the key to spiritual world....freemansons wanameditate sana hata watu wasio freemasons wanadeditate pia lakini wanapofanya hivyo wao wanakuwa katika utulive na kumtafakari Mungu na uzuri wake in deep..
 
mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?
 
mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?
Jamaa huyu nimemwambia aache kuleta mambo ya dini na aelezee vitu katika free mind. Meditation sio kutafakari. Ukiwa unatafakari unatumia akili. Na akili ipo katika mwili haipo katika roho wala nafsi.
 
Nadhani ndugu yangu upo nje ya key. Meditation sio kutafakari. Hapo unataka kupotosha watu waanze kukomaa kutafakari. Meditation is a spiritual thing, kutafakari ni mambo ya akili na akili ni part ya mwili sio part ya roho au nafsi.

Ningekuomba usipotoshe watu. Ingefaa ukaelezea mambo ya dini yako tu na sio kujifanya unajua kitu ambacho hukijui.
 
Naona mpaka Apollo amelike ujinga wako

Nadhani umefikia ukomo wa kufikiri

tafakari kwa kiingereza ni meditate. Au unakataa kuwa chakula siyo food? tafuta dictionary uona maana ya neno meditate.
Kwa kukusaidia hii nimeitoa TUKI.

meditate vt,vi 1 taamali, tafakari, zingatia. 2 ~ (up) (intend) azimu. meditation n taamuli, tafakuri, mazingatio. meditative adj -a mazingatio. meditatively adv.

NB: Acha kupost vitu usivyovijua
 
Last edited by a moderator:
mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?

Mungu = anything you believe it is beyond your mind and human comprehension. Hapa sijasema Mungu wa dini yoyote. Mungu wako pengine ni babu yako aliyefariki. as long as you believe
 
Jamaa huyu nimemwambia aache kuleta mambo ya dini na aelezee vitu katika free mind. Meditation sio kutafakari. Ukiwa unatafakari unatumia akili. Na akili ipo katika mwili haipo katika roho wala nafsi.

hakuna dini tatizo lako ni ukomo na ufinyu wako wa kuwaza unashindwa hata kujua kuwa neno meditation kwa kiswahili kutafakari...ubongo wako mzito mno. Acha kukurupukia vitu usivyo na uwezo navyo kiakili.

Labda kukusaidi mtu wa dini anaamini katika kitu kinachoitwa Mungu.
A meditator and metaphysician believe in 'organizing forces'
 
Naona mpaka Apollo amelike ujinga wako

Nadhani umefikia ukomo wa kufikiri

tafakari kwa kiingereza ni meditate. Au unakataa kuwa chakula siyo food? tafuta dictionary uona maana ya neno meditate.
Kwa kukusaidia hii nimeitoa TUKI.

meditate vt,vi 1 taamali, tafakari, zingatia. 2 ~ (up) (intend) azimu. meditation n taamuli, tafakuri, mazingatio. meditative adj -a mazingatio. meditatively adv.

NB: Acha kupost vitu usivyovijua
Tatizo lako hujui, na hujui kama hujui. Hakuna tafsiri ya moja kwa moja ya neno meditation kwenye Lugha ya kiswahili. Halafu hapa unatafsiri neno huelezei maana ya tukio. Neno contemplation siyo synonyms ya neno Meditatiion.
Tatizo hutofautishi spiritual things na physical things.

Neno tafakari linatokana na information inayotoka nje. Kwa mfano unasoma kitabu na unaanza kukitafakari kitabu hicho. Lakini Meditation ni njia ya kuelekea kwenye nafsi/roho yako mwenyewe.

Matokeo ya kutafakari ni kutatua jambo unalolitafakali au kushindwa kutatua. Matokeo ya meditation ni kujitabua kuwa wewe ni roho na wewe ni immortal.

Nadhani kwa maelezo haya utakuwa umeelewa. Ukielewa tu kwamba akili sio sehemu ya roho basi utakuwa vizuri.
Ni mengi mno ningekueleza ila inabidi uelewe content ya neno meditation sio tafsiri yake.
 
hakuna dini tatizo lako ni ukomo na ufinyu wako wa kuwaza unashindwa hata kujua kuwa neno meditation kwa kiswahili kutafakari...ubongo wako mzito mno. Acha kukurupukia vitu usivyo na uwezo navyo kiakili.

Labda kukusaidi mtu wa dini anaamini katika kitu kinachoitwa Mungu.
A meditator and metaphysician believe in 'organizing forces'
Tatizo lako ndugu umelegea sana kati uwezo wako. Hata kutumia akili za kibinadamu tu inakuwa ngumu.
Moja tafsiri ya kitu ni kutokana na matumizi yake katika eneo husika. Tatizo wewe umejikita katika Lugha na umeshindwa kabisa kuelewa content ya kitu tunachokiongelea. Ndio maana unaleta mambo ya imani huku ukiwa nje kabisa ya mada.

Hebu jaribu kutulia na kuacha kujifanya mjuaji wakati hujui. Wewe umekomalia definitions za vitu wakati hata metaphysics yenyewe huijui, Dark energy science hujui. Hata philosophy kidogo basi changanya.

Tulia upate somo uelewe na uweze kujitambua upate mwanga bora.
 
Naona mpaka Apollo amelike ujinga wako

Nadhani umefikia ukomo wa kufikiri

tafakari kwa kiingereza ni meditate. Au unakataa kuwa chakula siyo food? tafuta dictionary uona maana ya neno meditate.
Kwa kukusaidia hii nimeitoa TUKI.

meditate vt,vi 1 taamali, tafakari, zingatia. 2 ~ (up) (intend) azimu. meditation n taamuli, tafakuri, mazingatio. meditative adj -a mazingatio. meditatively adv.

NB: Acha kupost vitu usivyovijua

Habari mkuu.

Nimelike alichokieongea kwani alikuwa anamuelimisha mtu kiusahihi, kwani aliyekuwa anaelimishwa alikuwa anazungumzia kitu ambacho hakipo kabisa.

Pia labda ningependa kukuambia kuwa, katika hiyo comment yake hajakosea chochote. Kumeditate alikokuwa anakuzungumzia sio huko kwa maana ya kamusi. Wengine hutumia neno Taamuli kumaanisha meditation ya tendo. Ukifuatilia meditation maana yake kwa kiswahili haijakaa vyema kwani kutafakari sio meditation na maana zilizopo tayari zina maana ambazo ni tofauti na meditation. Kutafakari ni nje kabisa ya meditation. Meditation ni zaidi ya kutafakari.

Asante, Ningependekeza ujaribu kuelewa point ya mtu katika upande wake kwanza ndipo utazame upande wako umeelewa nini na sio kuelewa mtazamo wa mwenzako kwa upande unaotaka wewe.
 
Tatizo lako ndugu umelegea sana kati uwezo wako. Hata kutumia akili za kibinadamu tu inakuwa ngumu.
Moja tafsiri ya kitu ni kutokana na matumizi yake katika eneo husika. Tatizo wewe umejikita katika Lugha na umeshindwa kabisa kuelewa content ya kitu tunachokiongelea. Ndio maana unaleta mambo ya imani huku ukiwa nje kabisa ya mada.

Hebu jaribu kutulia na kuacha kujifanya mjuaji wakati hujui. Wewe umekomalia definitions za vitu wakati hata metaphysics yenyewe huijui, Dark energy science hujui. Hata philosophy kidogo basi changanya.

Tulia upate somo uelewe na uweze kujitambua upate mwanga bora.

Kuna hadithi moja, ilihadithiwa na Buddha. Alisema kulikuwa na mtu mmoja alichomwa mshale, walipojitokeza watu wamsaidie kuutoa mshale na kumtibu na sumu ya mshale alikataa kwani alisema mpaka amjue aliyemchoma mshale, yupoje, alimchoma kwa lengo gani na alitumia nini kumchomea. Kitu ambacho kilipoteza maisha yake.

Kuna wakati tunashikilia hoja ndogo sana na kusahau hoja kubwa ya maana zaidi. Ambayo ndiyo ya muhimu zaidi.
 
Unajaribu kusema nini? Unajaribu kushawishi nini?? Neno la Mungu ukiliendea kwa akili na uwezo wa kibinadamu utalikosa. Kumbuka imeandikwa maarifa ya kimungu ni upumbavu kwa mwanadamu vivyo hivyo akili ya mwanadamu ni upumbavu mbele za Mungu. Unajaribu sana kutumia akili yako kumpata Mungu na hujui umeshamkosa kirahisi sana.
Ndugu ukianza kuleta maswala ya dini yako hapa uapotea njia. Kuna dini nyingi sana duniani. Zingine zina mungu zaidi ya mia.

Haya mambo ya kuhusu mungu wako ni ya dini yako na hayana ukweli wowote. Vitabu unavyo viita vitakatifu vimeandikwa na watu. Tuliza akili ndungu kwanza toka kwenye kifungo cha dini uwe huru na uaenze safari ya kuifahamu kweli.
 
God is state consciousness level. Kama utakuja kufahamu kuwa God is within you and God is you. Ndipo utakaponielewa nina maanisha nini.

Uungu ni hali, sio kitu. Unaweza ukatumia nguvu yako ya uungu iliyomo ndani yako. Utakapo anza kuangaziwa na kuipata nuru ndipo utakapojua Mungu maana yake ni nini.

Kuangaziwa na nani Annael?
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kushut down isipokuwa you control all the body chacro points (except the heart) That is why before meditation you do a bit of fasting kwa sababu chacro points ni energy centers. When you fast you are able to control them kwa sababu energy inakuwa ndogo. Ndiyo sababu hata katika maombi ya kawaida watu wanashauriwa kufunga bila kula wala kunywa kwa muda fulani....it is the same philosophy.

Mkuu hapo ktk chakra ni kwamba mtu hutakiwa kufanya mazoezi (special meditation) ili kuengeza energies ktk vituo hivyo na ndipo aweze kufanya ayatakayo ktk ulimwengu wa kiroho.

Sasa inakuaje unasema ukipunguza hiyo energy (eg kwa kufunga) ndipo utaweza kufanya hayo mambo?
 
Nimegundua asilimia kubwa ya wale wanaofanya meditation,Hawaamini ktk Mungu..
(Nawaza kwa sauti)

Niacheni mm nameditate kwa kuyakemea mapepo na yanatoka..
Iyo haina kulala kifudifudi,wala chali chali.
Wala kufa ganzi mwili.
Wanaoitaka hiyo wanitafute..nyepesi sana.

Niacheni mi mlokole.
 
Kuna connection kati ya mwili na ulimwengu wa roho. Kwa hiyo hali hiyo ikiwa inatokea ubongo utakuwa umeuandaa mwili katika hali ya kutulia. Huwezi ukapooza kamwe na kitu hiki ni kizuri sana itakapogundua kuwa kumbe inawezekana hata kwenda sehemu tofauti tofauti ulimwenguni katika ulimwengu wa roho.

Hii elimu imefichwa na wengi hawataki wengine waijue. Usiogope, chukua hutua, haukuna kitu kibaya chochote, mtu awe yeyote asikutishe maana unawasiliana na nafsi/roho yako (God is within you)
Asante mkuu kwa somo lako na ushuhuda wako.
Swali langu ni kwamba pale unapouacha mwili na kwenda katika ulimwengu mwingine kabisa na kukutana na viumbe wengine, unapourudia mwili wako unaweza kuyakumbuka matukio uliyokutana nayo katika ulimwengu wa roho?
 
Ndio unaweza kukumbuka. Na hiyo ndio tunayoiita hatua kuelekea katika kujitambua wewe nani.
 
Mkuu Annael, Hapo mwanzo nilikuwa nikilala mwili ulikuwa ukipata ganzi na kuvibrate nilikuwa naogopa sana, nilikuwa sijui kama kuna kitu kinaitwa OBE.
Lakini katika kupitiapitia jf nikakutana na post moja inayohusu astral projection.
Hapo uoga ulipungua na nikawa na uwezo wa kuicontrol ile hali na hadi wiki iliyopita, nimekuwa na uwezo wa kutoka nje ya mwili na kujiona vizuri.
Sasa naomba niulize kuwa;
1-Nifanyeje ili niweze kwenda mbali zaidi na kukutana na watu mbalimbali? Na je hao watu ni akina nani?
2- Na pia siwezi kudhurika??

Naomba msaada wako kwa kuwa hii hali kwa sasa inanitatiza na nina maswali mengi kichwani!!
Ahsante _@
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom