Njia mpya ya wizi wa kwa miniwa/Utapeli Mjini

Njia mpya ya wizi wa kwa miniwa/Utapeli Mjini

Sio nje ya box ..
Kuna mdada namjua kafanyiwa hivyo...
Huyo mdada ni mzuri Sana ...Hamisa Mobetto haingii hata robo...
Na huyo bodaboda Sura imejaa utango utango....na ndie anaesimulia watu sasa mitaani
So sad aisee, pole zake nyingi..
BTW nimechukua ushauri, shukrani.💗🙏
 
[emoji23][emoji23] dah! Umewaza nje ya box.. inawezekana…. Ila mie nikiwa bar uwa ni indrive tu, baridi ya huku siwezi jiumiza na boda boda za usiku hata kwa bahati mbaya.
Hivi kweli mke wa mtu unaweza kuenda bar za mitaani peke yako bila ruhsa ya mmeo ?
 
Habar ya Leo, Naomba kushare na WA Tanzania wenzangu Kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili,
Iko hivi

Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jion nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya boda boda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range,

nikamjibu sawa mkuu mda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye Mimi Huwa ananisaidia kazi, kumbe baada tu yakutumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba

nimepewa na flani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba

akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips bas utakuja kuipata pesa Yako, kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na

Badaye aliendelea kuchoma chips baada tu yakumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote nipo alipo nitafta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba nikajaribu Kumpigia Kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya mda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda Kwa kupitia Mimi,

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa huo.
Wew ndo tatizo una toa namba vipi pasipo kumhoji maswali mawili matatu ....... wew ni mtuhumiwa namba moja kweny utapeli huo
 
Hii story inaonekana inazagaa huko kwenye vijiwe vya kahawa maana leo imerudiwa tena na mtu mwingine na inaweza kuletwa tena na mwingine.
 
Ahsante kwa kutukumbusha.. ila me najua hii story sio yako.
Ni ka sms flani forwaded kanazagaa sana Whatsapp.

Nina boda wangu wa3 ninao waamini… siku wakinipiga tukio nitalia 😂😂

1. Huyu yuko Town… nilipewaga na mtu siku natafuta boda aliyepo town. nilianza kumuamini sana siku nimemuagiza sehemu akachukue pesa afu adeposit bank flani ambayo haijazagaa mawakala mpaka uende mjini. Pesa ilikuwa 1M… akaifata, akadeposit na kuniletea slip nilipokuwa.

2. Yuko around kazini… namtumia sanaaa
Kwa kazini na mambo binafsi

3. Around mtaani… nae nishamwagiza issue ya pesa.


Na mtu akitaka boda akaniomba namba zao uwa natoa bila shaka
Hii story lishasimuliwa wiki sasa sijui hu imekuwaje naye ailete kama ilivyo
 
Back
Top Bottom