Njia mpya wanazo tumia wazungu kutuibia mchana kweupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia mpya wanazo tumia wazungu kutuibia mchana kweupe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Nov 22, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  WAKUU SIKU HIZI KUNA NJIA MPYA ZA KUIBA LASILIMALI ZA NCHI HII NA UKWEPAJI WA KODI.

  HUKU KARATU KUNA KITU KINAITWA RHOTIA VALLEY TENTED LODGE CHILDREAN HOME.
  INABIDI TIC, TRA NA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WATUJUZE KAMA HII NI EIZA

  1. N.G.O AU
  2. KAMPUNI


  WAKUU HAWA WAZUNGU WANCAMP YAO WANAPOKEA WAGENI LAKINI WANA KITU HAPO HAPO KINAITWA CHILDREN HOME MEANS WANALEA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.

  SASA JE,

  1. HAYO MAPATO YATOKANYO NA HIYO LODGE YAO NDO WANATUMIA KULELEA HAO WATOTO?

  2. KAMA SIO JE WANALIPA KODI? JE WAMESAJILIWA VIPI HUKO BRELA?

  KWA KWELI KUNA AINA FULANI YA WIZI UNAOFANYWA NA HAO WAZUNGU KWA SABABU KAMA NI MISAADA YA KULEA HAO WATITO WANAPATA KUTOKA NJE YA NCHI SASA HILI LA HOTELI YAO YA KITALII SIJAJUA INAKUWA VIPI.  HAYO HAPO CHINI NDO MAELEZO YALIYOKO KWENYE HIYO ENTREPRISES YAO

  Rhotia Valley

  Rhotia Valley is a project, completely embedded in the community of Rhotia in Tanzania. It's aim is to give support to the people of the Rhotia area, especially to the children. Rhotia Valley consists of Rhotia Valley Tented Lodge on one hill and Rhotia Valley Children's Home on the opposite hill: Two hills one goal!

  At the lodge you can enjoy every comfort in a typical African atmosphere. With only fifteen en-suite tented houses it offers intimate charm and personal service. By staying at Rhotia Valley Tented Lodge, you directly contribute to the wellbeing of the children of the adjacent Children's Home

  Rhotia Valley Children's Home is our safe and cosy home for children of the local community. Children, who don't have family to take proper care of them. We help these children build their future - a promising future!


   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  TRA wanahangaika na sisi wamatumbi tu!
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona hizo link hazifunguki?
   
 4. N

  NgomaNgumu Senior Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama watoto wanafaidika hiyo ni hatua moja muhimu kwani saa nyingine inabidi tupime madhara na maslahi yanayopatikana ktk kitu, kama maslahi ni makubwa zaidi kuliko madhara tutafute ufumuzi ambao hautawadhuru watoto wanaofaidika.
   
Loading...