Nilipelekwa big L nimekosa ugali mshkaji kanipeleka Kenny Garden!dah!hii bar noma kuna mpaka maandazi halafu masufuria jikoni mengi sana!weather bab kubwa!...sifikirii kulala mwenyewe naogopa baridi!naambiwa kuna sungura tope pinpoint!nasubiri kupelekwa
Vipi preta hapafai nini?..mimi napenda sehemu kama corner bar sinza,kwa macheni au masai kinondoni!naambiwa pinpoint au babylon hapo ni pumzi zangu tu!bar za nje hili baridi litaniumiza!kesho ntaomba nipelekwe mitako bar!
Dah bandugu Arusha kumefula mtu ni balaa; sehemu za kulala wageni ni kumejaa, mtaan ni pilika tu wageni kutoka nje ya nchi ni wengi duh geneva of Africa"