foleni foleni foleni njia kuu zimevurugika siku hz kila upitapo unapambana na STRABAG si kusini si mashariki si magharibi wala kasikazini njia kuu zote ni foleni na hizi mvua zinavyopiga ndio kabsaa njia kuu hazikaliki madimbi makorongo ya kutosha ..... bila michepuko na kupita vichochoroni unaweza kuilia weekend barabarani....
anyway: turudi kwenye siasa huku napo wanang'ang'ania kura ya wazi ila hawajui ukipiga kwa siri ndio ufanisi unaongezeka na tutapata misimamo ya kweli....ME NAUNGA MKONO KURA YA SIRI kwa nini kila mtu ajue