Njia gani zinaweza kumsaidia mtu ambaye yuko very sensitive emotional?

Habarini wakuu......

Nimekua niki experience hii kitu yakua very sensitive emotional. Yaani ni rahisi mnoo kuwa captured kihisia na kitu fulani. Sasa shida inakuja pale kitu kinapokuja in a negative inanichukua muda mrefu kukiondoa kichwani. Nitaweka mfano wa visa ambavyo nimewahi kuvi experience ili nieleweke kwa urahisi.

Kuna wakati nikiwa nasoma sekondari tukiwa kwenye chumba cha mtihani mwalimu akasema muda umeisha, wakati huo bado sijamaliza mtihani nikajikuta mwili ukapatwa Kama na ganzi nikashidwa kujicontrol na ile hali ikapelekea ni ejaculate.

Incidence nyingine ni pale labda mtu akiniambia nguo uliyovaa mbaya, Kama Niko sehemu ya public Basi iyo siku nzima nakua sipo comfortable na hata nikijaribu kupuuzia inanichukua hard time kuondoa kile kitu kichwani.

Incidence nyingine niliwahi kua kwenye ofisi moja boss wa pale akanisema mbele ya wafanyakazi wengine nikajikuta yaani mind yote imevurugika na sometimes mpaka mwili unatetemeka.

Incidence mbaya zaidi ni kwenye mambo ya mahusiano. Nikiwa na mahusiano na sometimes nakua na fear ambayo uniondolea peace of mind nikiwa na mtu for the first time so naweza nikajikuta hata kama kwenye kushiriki nae tendo na loose feelings.

Pia hata nikiangalia movie ikawa na scene ya kuuzunisha hata kidogo tu najikuta machozi yananitoka kirahisi tu. And I hate hii hali

Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta namna ya kudeal na izi hali kisaikorojia na kujitengenezea kurelax ninapo anza kuhisi kuface iyo hali but still kuna muda nashidwa.

Kwa ambao wamewahi ku experience hii hali na wakajua namna ya ku overcome ambayo inaweza ku work out tafadhari mnaweza kushare experience nami.

Natanguliza shukrani
umeyumba. piga gym itakusaidia kujiamin zaid 100%
 
Ulivyosikia CCM imeiba ushindi wa wabunge wa wagombea wa upinzani kwa nchi nzila alifili aje ?
 
Back
Top Bottom