rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,202
- 16,498
Vp una mshiko wa kutosha josephok tuanze na wewe apo
mi nimeipenda sana avatar yako i hope na wewe utakua mrembo sana tena zaidi
napiga hodi ndani ya moyo wako plz naomba nifungulie nikalibishe ndani ya moyo wako naahidi nitakua mkweli na muaminifu Inna wangu plz i beg you
kwa hilo tyu masha allah nimejaliwa niko vizuriVp una mshiko wa kutosha joseph
HahaaaChagua unayemtaka, halafu anza ku-like comments zake hata kama hazina maana. Ila kuwa makini, kadiri avi inavyovutia, ndiyo kiwango cha tofauti na uhalisia.
Shangaaa mwenzangu!!!!!kwani tunajiuza humu?
Haa haaa haaa ngoja mimi nianze hii mbinu kwakoChagua unayemtaka, halafu anza ku-like comments zake hata kama hazina maana. Ila kuwa makini, kadiri avi inavyovutia, ndiyo kiwango cha tofauti na uhalisia.