Ukute ushawai mtongoza tena humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke wangu nikijua yuko humu jf atanieleza..!
[emoji23] [emoji23] vip hyo scenario ishawai kukuta??Tatzo humu hapaeleweki uskute umemtongoza kidume mwenzio na yeye akajua ww ni ke akajua katongozwa na demu yaaani humu chaaaa
Dhuuuu!,, sasa hata safar imeishia
Njian
HahahaaaTena ndio mwenyekiti wa Chama Mkuu.
Yaani wew!!!Hahahahahhh
Mkuu kwani wewe ulishatumia ngapi tofauti na pesa?
[emoji28] mkuu just askingYaani wew!!!
Leo unawaandama wenzio
Mwambie aje tu umpe mbinu[emoji28] mkuu just asking
Huwezi jua naweza kuwa na msaada kwake
Tatizo hadi muda huu hajanijibuMwambie aje tu umpe mbinu
Kwan we una sh ngap?Kama hii yako inagharm tsh____
Atakuwa ameenda kununua sabuniTatizo hadi muda huu hajanijibu
Nashindwa kumpa mbinu ya kuanzia[emoji28]
Talking from experience?!Chagua unayemtaka, halafu anza ku-like comments zake hata kama hazina maana. Ila kuwa makini, kadiri avi inavyovutia, ndiyo kiwango cha tofauti na uhalisia.
Teh!sabuni ya nini sasa?Atakuwa ameenda kununua sabuni
Njia kuu ni kuandika. Sasa kama hujui kuandika vizuri humpati mtu.hv ni njia ngap wenzang mnatumia kupata wapenz Jf au kuna vigezo vnavyohtajika tofaut na pesa
Hahahaahhahahaahahahahaha uchumi wenyewe wa sasa ni noumaaaTeh!sabuni ya nini sasa?
Mimi nahisi bando limemuishia
Sjui wanalainishiaga vyuma vile! Hata cjui sanaTeh!sabuni ya nini sasa?
Mimi nahisi bando limemuishia