Kwa sisi Wanaume ambao hatupendi kupiga Wake zetu

big dreamer

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
398
1,059
Jaman Habari zenu wanajamvi,,,,ngoja nishuke kwenye punda ili tuongee vizuri

Jamani hapa juzi kuna kitu alifanya nikawa namkemea(kufoka) shemeji yenu tena kwa kumtunzia heshima nilisubiri tumebaki nyumba nzima sisi wawili tu lakini nayeye akawa anajibu mpaka hasira zikanipanda mpaka nikamkuda nusu nimkande lakini nikakumbuka kiapo nilichojiwekea kuwa sitampiga mwanamke na mama yangu alinisisitiza hilo swala la kutompiga mwanamke basi nikamwacha Lakini nusu ale makofi kwa mara ya kwanza,,,

Swali kwenu wanamazengo ninyi mnatumia njia gani kwa mwanamke ambaye unamkemea kitu naye anakuja juu nawewe hautaki kumkanda (kumpiga) ,,ninyi wenzangu mnatumia njia gani ili ajue kwamba amekuudhi kupitiliza
 
Mimi Kuna muda nikiona wife haongei kistaarabu namwambia akae kimya Mimi tu ndo naeongea, hapo Hana namna lazima akae kimya anisikilize. Mwanaume siwezi kuwa naeongea halafu nijibiwe kidwanzi.
 
Jaman Habari zenu wanajamvi,,,,ngoja nishuke kwenye punda ili tuongee vizuri

Jamani hapa juzi kuna kitu alifanya nikawa namkemea(kufoka) shemeji yenu tena kwa kumtunzia heshima nilisubiri tumebaki nyumba nzima sisi wawili tu lakini nayeye akawa anajibu mpaka hasira zikanipanda mpaka nikamkuda nusu nimkande lakini nikakumbuka kiapo nilichojiwekea kuwa sitampiga mwanamke na mama yangu alinisisitiza hilo swala la kutompiga mwanamke basi nikamwacha Lakini nusu ale makofi kwa mara ya kwanza,,,

Swali kwenu wanamazengo ninyi mnatumia njia gani kwa mwanamke ambaye unamkemea kitu naye anakuja juu nawewe hautaki kumkanda (kumpiga) ,,ninyi wenzangu mnatumia njia gani ili ajue kwamba amekuudhi kupitiliza
Kichapo wewe utakuwa ni dhaifu tuu
 
Bora wewe anakujibu ukimfokea wangu ukimfokea au kumuonya kitu ananuna haongei hata iwe mwaka na papuchi hatoi
 
Back
Top Bottom