Njia gani mnatumia kupata wapenzi JF?

Njia gani mnatumia kupata wapenzi JF?

Teh! Kila mbuzi ula kwa urefu wa kamba yake mkuu
wewe piga nyeto tu
Mapenzi bila Pesa ni Ushoga atiii
duuuh naona umeamuwa kunichana fresh sio kesi

ngoa kwanza ni deal na beyonce alaf nakuja muda sio mrefu
 
Sawa mkuu,ila yule baba wa watu unaemchuna feza zake acha jamani![emoji1]


Jamani jamani naanzaje sasa kwa mfano??
His love is beautiful
His love is wonderful
His love is colorful
His love is, bank-alert
His love is, Karatey combo
His love is, coming from Congo
 
Jamani jamani naanzaje sasa kwa mfano??
His love is beautiful
His love is wonderful
His love is colorful
His love is, bank-alert
His love is, Karatey combo
His love is, coming from Congo
Siyo kwamba his money is beautiful???[emoji1]
 
njia rahisi ni ile ya kupitia kwa mods watakusaidia
 
Back
Top Bottom