Nywilla
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 379
- 349
Kuna kijana hapa mtahani ila amesoma tuition advance na alimaliza 4m 4 mwaka 2011 sasa anataka afanye mtihani wa six je atumie utaratibu upi aweze kufanya mtihani?, na je atafanya kama PC au SC?. Natanguliza shukrani kwa yeyote mwenye ujuzi wowote juu ya ili jambo!.