Njia gani bora ya kuingiza hela online

Njia gani bora ya kuingiza hela online

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakuu Nina mpango WA kufanya hizi shughuli za online business ili nijiongezee kipato,naomba kuuliza kwa wataalam walioishafanya shughuli je Ni njia ipi au kampuni ipi Ni best ktk hizi biashara???
 
Una apply kazi part time kwenye kampuni au taasisi yoyote kubwa kama Internet marketing consultant, kazi yako itakuwa ni kumanage social media accounts zao zote kwa kupost enganging contents, kama unajua photoshop itasaidia kidogo. pili ni kuandika recommendations kuhusu taasisi husika kwa related platforms, let's say ni hotel...so marketing platforms ni kama Tripadvisor.com, Lonelyplanet.com nk
 
asante mkuu
 
Jaribu Odesk au enlance ingawa competation ni kupata kazi ya kwanza ila baada ya hapo kama uko willing ku quote kwa $0.5 kwa saa unaweza kupata some za kuanzia
 
Anayesema soko la betting ni kupoteza mtaji huyo hajitambui .. pesa hiyo ni ya bure .. ni akili ndogo tu .. namna ya kufanya maamuzi sahihi .
 
Fungua Blog na post habari za Kizungu baada ya 6month na aply google adsence anza kupiga hela online.
Kwa mahitaji ya Blog yenye post za lugha ya kizungu yenye umri wa 6month ni pm tufanye biashara.
 
Wakuu Nina mpango WA kufanya hizi shughuli za online business ili nijiongezee kipato,naomba kuuliza kwa wataalam walioishafanya shughuli je Ni njia ipi au kampuni ipi Ni best ktk hizi biashara???
Fungua Blog na post habari za Kizungu baada ya 6month na aply google adsence anza kupiga hela online. Kwa mahitaji ya Blog yenye post za lugha ya kizungu yenye umri wa 6month ni pm tufanye biashara.
 
Develop online Website na App kwa ajili ya eTicketing (Kwa ajili ya Cinema, Mabasi ya Mikoani, Events na vingine) unaweza ukafanikiwa.
 
Wizi mtupu nitaenda kukushtaki ww,,,,ohoooo mwizii mkubwaaaa ww na tapeli sanaaaaa ma.la..ya ww..

We jamaa vipi! open discussion sio unakaa na kutukana mtu njenje, umegain nini sasa?
Ka we ni ke ka avatar yako then u got some serious issues.. Grow up a bit, kua civilized
 
Back
Top Bottom