Njia bora ya kupunguza uwezekano wa kupata ngoma kwa mwanaume mwenye wapenzi wengi

Mkuu wasaidie tu wakuelewe sbb hata mimi nakuunga mkono. Wanatusumbua sn hawa wanaume sbb akirud mara mbili tatu kwa mwanamke m1 tunackia keshabebesha mimba, mara mwanamke anapata ujasiri wa kupambana na mwenye mali (namaanisha mke wa jamaa) sababu tu wameshazoeana sn. Muwe mkigonga once hamrudiko tena!

Asante kwa kuelewa somo haraka.. Muache madam Karucee aendelee.. Ndo maana mchungaji wake wa upako alisema vijana wasioenda kanisani Jumapili na mafala... Sasa ngoja siku asiende hili tusi litamgusa moja kwa moja...
 
Uwe uki re charge...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418065955.204536.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418065955.204536.jpg
    25.5 KB · Views: 311
Kama umeona njia kuu sio dili, maana njia kuu yako mchepuko wa mwingine, basi hakikisha hugongi demu mmoja mara mbili.. One night stand ndio mpango.

Ukigonga dem mara moja utavaa helmet ila mara ya pili na kuendelea huwezi vaa mazee.. utajifanya we ni dereva mzuri ushazoea barabara.

Na huu ndio ukweli!!
Hutaki Unaacha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom