Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

mgt software

NHC ilishakufa hata kodi za pango ilikua haikusanyi Msechu kalinyanyua shirika likajulikana majengo mapya mpaka wilayani.

Sasa mmempa Msukuma mwenzenu limerudi kule tulipotoka halafu mnasingizia Msechu.

Kukopa benki ni kawaida hata SGR inajengwa kwa mkopo wa benki na hakuna uhakika kama pesa itarudi maana TAZARA tunayo na mizigo ya Zambia na Congo inaenda kwa malori.
 
NHC ilishakufa hata kodi za pango ilikua haikusanyi Msechu kalinyanyua shirika likajulikana majengo mapya mpaka wilayani.
Sasa mmempa msukuma mwenzenu limerudi kule tulipotoka halafu mnasingizia msechu.
Kukopa benki ni kawaida hata SGR inajengwa kwa mkopo wa benki na hakuna uhakika kama pesa itarudi maana TAZARA tunayo na mizigo ya zambia congo inaenda kwa malori
daah! hatari
 
Toa numerical evidence to back up your arguments otherwise ni chuki, wivu na husda kama kawaida ya wananchi wengi wa nchi hii. Kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi ufanikiwe!

Alifanikiwa nini Mchechu? Si ndiyo maana akatunguliwa hadharani mchana kweupe kwa kuomba udhamini wa serikali ili akakope tena billions wakati kashindwa kurudisha mikopo kibao, anajenga nyumba at over inflated prices on overpriced land parcels na hazipangishiki na wala hazinunuliki; kwa kutumia vikampuni fictitious vyake na nduguze ndio vilikuwa vinapewa tenda JPM akamtungua juu kwa juu. In fact, it was a matter of time NHC ilikuwa itumbukie mtaroni; sishangai kusikia ina hali mbaya kifedha, lazima kuna mabenki lukuki yataporomoka nayo kwa sababu ya mikopo chechefu ya genious Mchechu!

Kumbuka Tanzania bado haina idadi ya kutosha ya watu wenye kipato cha kati (Middle class) wa kuweza kupangisha au kununua nyumba za Mchechu kwa bei zile na kwa kasi aliyokuwa akizifyatua genious Mchechu.
Angalia sasa uchumi wetu umesinyaa; watu hawana uwezo wa kupangisha au kununua nyumba hizo;
sijui pia kama Genious Mchechu labda alipanga Return on investment (ROI), ipatikane baada ya miaka 200; sijui!!!

Eti Mchechu alifanikiwa; my foot!
 
MTK,
Watu walianza kuzikimbia hizi nyumba muda mrefu maana tozo la pango kwa squameter ni kubwa. Ndiyo maana unaona nyumba nyingi makazi ya watu wengi wameamishia maofisi yao.

Nyumba nyingi hazina plan ya parking matokeo yake gharana za kupaki kubwa mno kwa makampuni. Kuna vijumba vingi mjini vinakaliwa na wahindi na vibovu. Kama angevivunja hivi na kufanya nyumba site kuwa jengo moja wapangaji wa kawaida angewapata sana kuliko kwenda pembeni ya mji kujinunulisha mashamba kwa bei ghali na kuweka makampuni yake kupiga dili.
 
Wana jf
Watu wengi walikuwa wanamwona Mchechu kama ameweza sana kuliongoza shirika hili bila kujua kuwa limeendeshwa kwa hasara muda mrefu. Mchechu alikopa sana mabenki kuwekeza kwenye sehemu ambazo hazina mvuto.
Halafu wanajenga nyumba wanauza kwa dollar nchi ikitumia shilingi halafu ulizia bei sasa flat moja labda ipo upanga au masaki ukichenji kwa mahela yetu hapa unakuta milioni 250' mpaka mia tatu sasa hiyo hela si nanunu kijiji mbagala na nakula good life mpaka uzeeni haki kipindi cha nyuma kuna watu walikuwa wanaishi maisha ya anasa sana zile hela sijui ziliyeyukia wapi
 
Kumbuka Tanzania bado haina idadi ya kutosha ya watu wenye kipato cha kati wa kuweza kupangisha au kununua nyumba za Mchechu kwa bei zile na kwa kasi aliyokuwa akizifyatua genious Mchechu.
Angalia sasa uchumi wetu umesinyaa; watu hawana uwezo wa kupangisha au kununua nyumba hizo;
sijui pia kama Genious Mchechu labda alipanga Return on investment ipatikane baada ya miaka 200, sijui!!
eti Mchechu alifanikiwa; my foot!


Mkuu ongeza sauti MATAGA wenzio wakusikie.
 
Tatizo Magufuli hakuacha hii miradi imalizike.
Angeacha hii miradi imalizikize aichukue wapange wafanyakazi wa serikali.
Kule Kigamboni Dege Village pamechakaa sana
 
Back
Top Bottom