Njia 3 za Kugundua Asali iliyochakachuliwa

Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
  1. Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass
  2. Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake
  3. Chukua karatasi plain, weka asali juu yake, karatasi hiyo haitalowa upande wa pili tofauti na asali iliyochakachuliwa!
Ni hayo tu wadau!

Asante sana mkuu kwa kujitolea kutoa darasa!
Mimi ni mdau ktk biashara ya kuuza asali ya jumla kuanzia lita 20 na kuendelea. Nanunua kwa uaminifu tu toka kwa watu watatu tofauti bila kutumia tests kama hizi. At least umenifumbua macho! Sasa nauliza, hivi muuzaji asali akichakachua kwa kuchanganya lita moja ya maji kwa kila dumu moja la lita 20 la asali, je mimi mnunuaji naweza tumia tests zako nikagundua kuwa asali imechakachuliwa?
 
Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
  1. Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass
  2. Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake
  3. Chukua karatasi plain, weka asali juu yake, karatasi hiyo haitalowa upande wa pili tofauti na asali iliyochakachuliwa!
Ni hayo tu wadau!

Nimetumia njia zote tatu kufanya test ya asali iliyopo ktk store yangu leo hii asubuhi. Namba 1 & 3 zimekubali kasoro namba 2. Mkuu, unasemaje ktk hilo?
 
Nisaidieni namna ya kugundua bangi ambayo haitagundulika pale airport.

ha ha.....wewe sasa unatutafuta undani...........well....makushabu tu ndio huwa hayagunduliki......jaribu na hayo...........
 
hii ni poa sana.....hebu tupe na mbinu ya kugundua samli original.....nasikia huwa inachanganywa na viazi...........
Haya sasa ukisikia kuwekana roho juu ndiko huku!mi sifahamu kwamba hata hii inafanyiwa chakachuz
 
nimejaribu ya kuwasha na kibiriti naona njiti imewaka..

ooh afadhali sikujua before.. thx mtoa mada.
 
Mizengo Pinda inamuhusu maana yeye Ndo Mfalme wa Nyuki, kwa Mtaji huu Mauzo ya Asali lazima yashuke, Mtu kwenye Stock ana Mchakachuo wa Lita 70 halaf anaona hii Thread lazima apagawe!
 
naomba mbinu ya kununua sembe ile ya kupeleka ulaya,nitajuaje fake na original?
 
Back
Top Bottom