Njia 3 za Kugundua Asali iliyochakachuliwa

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
  1. Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass
  2. Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake
  3. Chukua karatasi plain, weka asali juu yake, karatasi hiyo haitalowa upande wa pili tofauti na asali iliyochakachuliwa!
Ni hayo tu wadau!
 
Ukitaka kugundua asali
iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
  1. Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali
    isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye
    kitako cha glass
  2. Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti
    iwake
  3. Chukua karatasi plain, weka asali juu yake, karatasi hiyo haitalowa
    upande wa pili tofauti na asali iliyochakachuliwa!
Ni hayo tu wadau!
weka asali kwenye kijiko mwaga taratibu itamwagika kwa mchiri kama mlenda isipofanya hivyo umepigwa!
 
Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
  1. Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass
  2. Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake
  3. Chukua karatasi plain, weka asali juu yake, karatasi hiyo haitalowa upande wa pili tofauti na asali iliyochakachuliwa!
Ni hayo tu wadau!

Namba mbili fafanua mkuu; hiyo imechakachuliwa au haijachakachuliwa?
 
Hizi asali tunazonunua kwenye vituo vya treni naona tunauziwa fake kwani hakuna muda wa kuzipima!
 
hii ni poa sana.....hebu tupe na mbinu ya kugundua samli original.....nasikia huwa inachanganywa na viazi...........
 
Nimejaribu isee kweli kiberiti kimewaka nilinunua tabora ingekuwa ya town mmh majanga
 
hii ni poa sana.....hebu tupe na mbinu ya kugundua samli original.....nasikia huwa inachanganywa na viazi...........
tobaaa yailah nilikuwa sijui hii naanza kupata picha ni mtumiaji mzuri sana wa samli
 
Back
Top Bottom