Njemba ndio hizi bana

Njemba ndio hizi bana

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
424968_377250725631882_2016277975_n.jpg
 
hee,mieleka tu ndo hadi waende jangwani!? dah!
 
raha ya hiyo ya kwenye mchanga, anayeshindwa anajikuta kichwa chote kimezama kwenye mchanga,
 
Napenda sana huo mchezo nataka kuwaendeleza hawa watu kama mfadhili
 
wameshiba ugali, wakakosa la kufanya wakaona wajitafutie shughuli ya kupoteza muda.
 
Ni kawaida ya Waafrika wengi tukishashiba huwa Tunachetuka,
 
Back
Top Bottom