Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA


Nimefurahi sana.
 
Ikiwa unafanya mambo yako kwa kutegemea ndoto sina sababu ya kukuzuwia, mimi sitegemei ndoto kwa kufanya mambo yangu. I Plan.
Planning ndiyo ndoto yenyewe, Tanzania tumepanga (plan) by 2025 nchi yetu iwe ya uchumi wa kati, kama hii siyo ndoto ni nini.
 

NI HABARI NJEMA:msela:
 
Kaka lakini kwa uhakika ANGALIZO linatakiwa sana..........Tumeyaona kwa akina SHIBUDA...........

Ni kweli kabisa ila kwa mwana ccm yeyote hafurahii kitendo cha cdm kumpata kiongozi mzoefu hasa wazee,maana ccm wamezoea kumwaga sumu kuwa cdm inaongozwa na vijana wahuni na hilo lilipelekea mwanzoni cdm kuendelea kutopata kura kutoka kwa kuna mama hasa vijijijni,lkn sasa wameanza kuipenda na kuliamini cdm kwa kuipa kura kwani wazee ndio wanawapa ushauri wake zao.( kuna mama)
 

Welcome on board cmndr Njelu Kassaka of G 55 fame, Aluta continua
 


Wacha longolongo zako wewe mbona umeshondwa kupanga mipango mizuri na ukatoka na ushauri mzuri kwa lowasa hasipoteze ela zake kwenye kutangaza nia na badala yake azipeleke vituo vya afya kununulia dawa ili kuokoa maisha ya mama na watoto ?
 
Very gud! Gud job. Njelu kasaka very nyce.

Sawa lakini siku akiamua kuondoka chadema je mtaendelea kumuona shujaa? Au ndo atageuka na kuwa msaliti? Tafakarini mienendo yenu nyie bawacha
 
Planning ndiyo ndoto yenyewe, Tanzania tumepanga (plan) by 2025 nchi yetu iwe ya uchumi wa kati, kama hii siyo ndoto ni nini.

Kama tafsiri yako ya "planning" ni ndoto, kwanini nikuzuwie?

Mimi tafsiri yangu ya "planning" ni kupanga na kuchaguwa na si ndoto.
 
Huyu mzee kachanga karata zake vizuri kaona hamna jinsi ya yeye kurudi bungeni ngoja akajaribu tena Chadema maana Cuf alishindea vibaya.
 
Ila huyo Mzee wa upako huwa namkubali balaa,aje Mwanza siku 1 apige harakati

Hivi ni mzee wa upako huyu ANTONY Lusekelo wa Ubungo kibangu amabaye mimi nina mfahamu kama transfoma au ni mzee wa upako mwingine....ufafanuzi plz.
Huyu mzee Kasaka Njeru si ndio kiongozi wa lile kundi lililozuaga utata kipindi flani huko mjengoni? mpaka mwalimu akapata wakati mgumu sana kushughulika nao....
 
Duh kumbe bado yupo hai, nilimsikia muda sana. Nakumbuka alienda CUF na kurudi na sasa ameenda CHADEMA na atarudi tu CCM, kama simuamini hivi.
 

Unachosema ni kweli,lakini mara nyingi hawa Wazee siwaamini sana.Tumemuona Mzee wa Kiraracha alivyoharibu upinzani,Mzee Mapesa nk nk.Tinahitaji kuwa waangalifu kwa kupita kiasi.Hawa vijana wanaoshawishika kwa vijisenti ni rahisi sana kuwa control
 
Unachosema ni kweli,lakini mara nyingi hawa Wazee siwaamini sana.Tumemuona Mzee wa Kiraracha alivyoharibu upinzani,Mzee Mapesa nk nk.Tinahitaji kuwa waangalifu kwa kupita kiasi.Hawa vijana wanaoshawishika kwa vijisenti ni rahisi sana kuwa control

Nimekusoma mkuu
 
Kama tafsiri yako yta "planning" ni ndoto, kwanini nikuzuwie?

Mimi tafsiri yangu ya "planning" ni kupanga na kuchaguwa na si ndoto.
Ukipanga siyo guarantee kuwa utapata ni sawa na ndoto inavyoweza kuwa ya kweli au ya uongo.

Unaweza kuwa sahihi kwa definition yako iwapo utafikiri ndoto zote zinapatikana usingizini, ila kama utakuwa na definition pana ya ndoto (dreams) utaona hata planning ni subset ya ndoto.
 
What about Steven Wassira? alitoka CCM akaenda Chama kingine na akarudi. Yeye je?

Wassira alitoka CCM akaenda NCCR kisha akarudi CCM, sababu za kutoka CCM na kwenda NCCR ameshazieleza kuwa ni kuenguliwa baada ya kushinda kura za maoni.

Sasa huyu Mzee Kasaka alirudi CCM na sasa ametoka tena. Sababu iliyomuondoa CCM kabla ya kwenda CUF ni ipi? Alipotoka CUF mbona hakujiunga na chama kingine cha upinzani na badala yake alirudi tena CCM na sasa ameondoka tena?

Vv
 

Nimekwambia wewe endelea kuota, amma ukiwa macho amma ukiwa umelala.

Mimi sipangi mambo yangu kwa kuota, nnapanga na kupanguwa kutokana na "reality" na si ndoto kama wewe.

Endelea kuota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…