Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,353
- 95,728
Huo ni uwezo tu,wewe endelea kunywa togwa ya kutengenezea KAYOGAAkili zako ndogo
mimi situmii hata Malta

Uwezo upiHuo ni uwezo tu,wewe endelea kunywa togwa ya kutengenezea KAYOGA
Njoo hapa centre, ushuhudie na kama hauna nauli nitakulipia kuja na kurudiUwezo upi
kwanza kakonko wapi utapata pakupigia picha kama hiyo!!?
hehehe Kakonko mpo nyuuma saana
UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.
Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.
Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.
Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.
Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.
Ukawa nje ya bunge ni useless.
Kazi ya mbunge unaijua,?UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.
Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.
Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.
Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.
Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.
Ukawa nje ya bunge ni useless.
HeheheheNjoo hapa centre, ushuhudie na kama hauna nauli nitakulipia kuja na kurudi
Huamini au?Hehehehe
Ebu wacha kunichekesha muda wa kitonge chamchana bado sijapata
Wewe unilipie nauli!!
hayabwana
Kila mtu huwa na uwanja wa nyumbani. Si ajabu na wewe nje ya JF si kitu kabisa.UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.
Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.
Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.
Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.
Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.
Ukawa nje ya bunge ni useless.
Kila mtu huwa na uwanja wa nyumbani. Si ajabu na wewe nje ya JF si kitu kabisa.
wewe ni mamluki avartar yako haiakisi post zako. wewe si lolote wala chochote.Kila mtu huwa na uwanja wa nyumbani. Si ajabu na wewe nje ya JF si kitu kabisa.
kwani dau limepanda?Lisha fulia neno hilo
Tafuteni jipya
Mfumo wa vyama vingi upo kikatiba unless Katiba ibadilike na kurudi kwenye ujima itaendelea kuwa na Ukawa vinginevyo uhame nchi.Uibadik wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.