Nje ya vikao vya bunge, UKAWA is useless

UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.

Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.

Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.

Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.

Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.

Ukawa nje ya bunge ni useless.

wanapenda kusikia: DAR CHINI YA UKAWA
 
Kazi ya mbunge unaijua,?
 
Mwenyeakili anajua Ccm inajaribu kubadilika baada ya kukimbizwa mchakamchaka bungeni!! AG mwenyewe anakuwaga hii acha waziri mkuu.
Chamuhimu ukawa ijitahidi zaidi kufanya mambo makubwa na tofauti katika maeneo waliyoshinda. Kudharau jitihada za upinzani katika zama hizi ni ujinga wa kujipendekeza kwa viongozi waliopo madarakani.
 
UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.

Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.

Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.

Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.

Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.

Ukawa nje ya bunge ni useless.
Kila mtu huwa na uwanja wa nyumbani. Si ajabu na wewe nje ya JF si kitu kabisa.
 
Uibadik wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.

Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.

Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.

Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.

Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.

Ukawa nje ya bunge ni useless.
Mfumo wa vyama vingi upo kikatiba unless Katiba ibadilike na kurudi kwenye ujima itaendelea kuwa na Ukawa vinginevyo uhame nchi.
 
Back
Top Bottom