Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,902
UKAWA huwa wanaombea sana bunge liwe through out the year maana ni sehemu pekee ambayo wanaweza fanya ujinga wao na kuuza magazeti.
Yaani bila kutoka nje ya bunge kupinga hoja za ccm hata kama ni za maslahi kwa taifa basi vyama vyao vitakufa kibudu.
Sioni ubunifu wala nia ya dhati ya wapinzani nje ya bunge kuchochea shughuli za maendeleo za wananchi wao majimboni kwao.
Wanasubiri maigizo tu mjengoni na kuuza sura kwenye tv no wonder why walikua wanalilia sana bunge lirushwe live.
Hatupo tayari kulipia maigizo ya wasanii wachache na kuacha kufanya mambo ya maana.
Ukawa nje ya bunge ni useless.