Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini?

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Akili ya mtu ama mind hutambulishwa zaidi na matendo ama maamuzi ya mtu katika masuala mbalimbali. Na katika tabia na mienendo ya matamanio mtu akizama zaidi huwa mlevi na huenda akawa ameathiriwa na tabia hizo ama addict. Tokea nimeanza kuzisikia nyimbo za huyu anaitwa kila siku najiuliza kichwani make kuna nini cha ziada? Uwezo wake wa kufikilia na kuamua.

Na hili ni tatizo la malezi, makuzi ama nini? Tatizo ni ukosefu wa elimu ama ni nini hasa, kinachlkela zaidi ni aina ya maneno ama lugha katika nyimbo zake, yote inagusia tendo la ndoa, namwona mtu alive addicted kama wabwia unga na pombe. Hakika naye anahitaji msaada wa haraka, aelimishwe maisha ni nini na kuwa msanii ni nini
 
Sawa anawaza mapenzi vipi ulishawahi kujiuliza hayo mapenzi maendeleo ya diamond yalivyo makubwa kwa sababu ya kuimba mapenzi? Kiba mwenzio alishakubali siku nyingi mapenzi yanarun dunia
 
Nilijua tu, mnaumia sana companion wenu kaguswa. Jiandaeni vyema almradi haimbii porini ni lazima mfalme wenu aguswe, nawakalibisha kwa matusi mengine zaidi wakati dawa inaendelea kufanya kazi.
 
Sawa anawaza mapenzi vipi ulishawahi kujiuliza hayo mapenzi maendeleo ya diamond yalivyo makubwa kwa sababu ya kuimba mapenzi? Kiba mwenzio alishakubali siku nyingi mapenzi yanarun dunia
Utanielewa miaka 10 toka leo
 
Sio yeye tu..angalia wasanii karibu asilimia 90..was shika peni na karatasi yanawajia mashairi ya ngono tu.yani hata kubadili ladha basis japo Mara moja huwezi? Ni mapenzi tu ngono wanawake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya mtu ama mind hutambulishwa zaidi na matendo ama maamuzi ya mtu katika masuala mbalimbali. Na katika tabia na mienendo ya matamanio mtu akizama zaidi huwa mlevi na huenda akawa ameathiriwa na tabia hizo ama addict. Tokea nimeanza kuzisikia nyimbo za huyu anaitwa kila siku najiuliza kichwani make kuna nini cha ziada? Uwezo wake wa kufikilia na kuamua.

Na hili ni tatizo la malezi, makuzi ama nini? Tatizo ni ukosefu wa elimu ama ni nini hasa, kinachlkela zaidi ni aina ya maneno ama lugha katika nyimbo zake, yote inagusia tendo la ndoa, namwona mtu alive addicted kama wabwia unga na pombe. Hakika naye anahitaji msaada wa haraka, aelimishwe maisha ni nini na kuwa msanii ni nini
Elimu ,Elimu ,Elimu hakuna kingine zaidi ya hapo.
 
Nje ya mapenzi Diamond ni mfanyabiashara mzuri na mkubwa ,hana degree lakini kasimamisha WCB Label,Sasa hivi anadeal na kuisimamisha Wasafi TV/Radio bila kusahau Wasafi Festival.
Hivi mwana hisa mkubwa wasafi Tv ni nani?
 
Diamond 45%,Kusaga 53% ,hao ni bussiness partiner,at the end of the day wote ni wafanyabiashara,hela ikingia wanagawana based on their percentage.Ndio dunia inavyoenda Jordan (Michael Jordan) na Nike,Yeezy (Kanye West) na Addidas ,mmoja ana fame (Diamond & Wasafi) mwengine ana mtaji (Kusaga).
 
Back
Top Bottom