Kabla kukuelewesha kuhusu internet na uislamu,kwanza naomba nifahamishe vitu vya msingi vinavyofanya internet.Ikiwa huelewi pia kiri hivyo.Hili ni muhimu kwangu kwani nisije nikatoa majibu kwa mtu ambaye ni mbumbumbu kabisa wa hilo analotaka kueleweshwa.Anaweza akapewa jibu na bado akalalamika kuwa silo.
Kuhusu wazungu na elimu, sijatumia neno kuwaibia,bali nimesema waislamu waliwapelekea wazungu elimu.Wazungu kama walivyo wakristo wengi wakalipa fadhila kwa kuchoma moto tafiti na kazi muhimu za waislamu.Ikiwa unabisha kwa hili nasubiri mshangao wako.

Naamini kwa kutoka kwenu kwenye mada ya Sudan na kuingia kwenye Uislamu lile suala limeeleweka kuwa Sudan matatizo yaliyopo ni ya kuletwa na ya kubuniwa.Hebu nieleweshe uhusiano wa kuanzishwa na internet na Uislam. Pia nieleweshe kivipi wazungu waliwaibia Waislam/Waarabu elimu na ilikuwaje Waislam/Waarabu kubaki nyuma kama tunavyoona leo.
Naamini kwa kutoka kwenu kwenye mada ya Sudan na kuingia kwenye Uislamu lile suala limeeleweka kuwa Sudan matatizo yaliyopo ni ya kuletwa na ya kubuniwa.
Sasa wacha tuone uzuri wa uislamu kwa kuangalia jinsi ulivyopelekea kuvumbuliwa internet.
Kwanza tuelewe kuwa kifaa muhimu cha upatikanaji wa internet ni compyuter.
Moja ya makampuni makubwa ya kutengeneza compyuter ni IBM.Wao wakitoa historia ya kuundwa kompyuter wanasema:
Drum Memory
The IBM 650 used a drum memory organized into signed, ten-digit decimal words. The basic '650 had 2000 words of memory. You could add additional drums for up to 10,000 words. [Tom Zaslavsky remembers 6,000 max.] Jonathan Baker tells us there were 200 read/write heads with 50 words per set of 5 heads[SIZE=+1].[/SIZE] A later option added 60 words of core memory where you could store fast loops.
Each word could represent a signed decimal integer or an instruction. There was an optional floating point unit with an eight-digit signed mantissa and a two digit exponent biased by 50.
Each digit was represented in seven bit "bi-quinary" notation: one bit out of 5 represented a value from zero to four; one bit out of two indicated whether or not to add 5 to that value, essentially an electronic abacus. The front panel had rows of lights in groups of five to display register contents. "28019" would be displayed as follows:
[SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 2 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 9[/SIZE]Actual displays were 10 digits long, with the sign on the right side, just 2 lights in the same space as a full digit. The console layout is per[SIZE=+1] [/SIZE]Jonathan Baker[SIZE=+1]'[/SIZE]s correction to my original posting. His other comments appear below.
An IBM 650 instruction looked like this:
xx yyyy zzzz
Hapo angalia maneno kama zero,decimal,light.Angalia na herufi za kutoa kanuni ya makisio xx yyyy zzzz.
Kabla sijaendelea soma historia ya
MOHAMMAD BIN MUSA AL-KHAWARIZMI
(Died 840 C.E.)
Ami usidhani mimi ni maamuma kama wewe. Huyo M-Iran au M-Persia au M-shiraz Mohammad Bin Musa Al-Khawarizmi namfahamu labda kuliko wewe uliyemsoma kama historia. Kwa kukumbusha au kukusaidia hata neno chemistry ni la kiajemi i.e alchemy. Kumbuka kutumia majina kama zero,decimal,light sio hoja kuwa Uislam ndio umeleta internet. Inaonekana wewe hata uambiwe ukweli gani ni mtu wa Islam first na mengine baadae. Hii tabia ndio imefanya nchi nyingi za kiislam ziwe na wajinga wengi na maendeleo duni.(Maana hata hayo walinayo ni ya hela za mafuta hakuna cha maana wanachogundua wala tafiti zenye mashiko zaidi wazungu wanakula hela zao kwa kuwapelekea miradi ambayo wanajua fika haiko sustainable.)
Kama kutumia baadhi ya maneno ndio umegundua kitu basi nchi zote hazigundui kitu duniani ukiacha Greece, UK na Italy maana maneno na terminology nyingi za kisomi zinatumia maneno yatokanayo na Lugha hizo. Ndio kusema, US,China, Japan, Korea, India hawagundui chochote kwa sababu mara nyingi hawatumii lugha zao kwa vitu wanavyogundua bali wanatumia maneno ya lugha nilizokueleza hapo juu.
Nilidhani huu mjadala uliuleta ili watu wajadili kwa nini South Sudan wanataka kujitenga kumbe unataka kutetea Islamic Superiority!
You're an Idiot...

The way Ami anavyotaka kupotosha huu umma wa wasomaji ni kwamba al Khawarizmi, single-handedly laid down the foundation of internet..kwi kwi kwi..this al Qaeda fanatic is on drugs.
Myself as a scientist, I personally respect al Khawairizmi, same kama ninavyowaheshimu wanasayansi wengine kutoka watu wa lugha na mataifa mengine. Hakuna kitu special sana kutoka kwa al Khawairizmi ambapo modern world can show. Most of his works are still primitive na zile ambazo zipo sahihi can easily be understood, reproduced by a modern young mind.
Al Khawarizmi kama ilivyo kwa wanasayansi wengine waliongeza tu maarifa katika tasnia zilizokuwepo kwa wakti wao, hawakubuni hisabati wala internet. Walikopi kazi za wengine, kutafsiri na kuongezea kidogo. Ukiangalia historia ya falme za kale mashariki ya kati ni kwamba kwa zile falme zilizoona umuhimu wa maarifa, waliajiri watafisiri wa lugha mnbalimbali ili watafsiri kazi mbalimbali za kisayansi kutoka kwa powershouses za wakati ule zikiwemo kazi za Kigiriki, Kihindi na Kichina,to mention a few, sasa kusuggest kwamba Wasilamu au Waarabu kama ndio vinara wa sayansi au hisababti wa wakti ule, is sheer nonsense in itself.
Mathalan, ukiangalia matumizi ya sufuri, al Khawarizmi asingeweza ku-suggest matumizi yake ingekuwa wahindi wasingeibuni hiyo sufuri...in the first place.
Sasa unachotaka ni nini wewe Abdulhalim?.
Ujinga wako na kutoelewa ulisemalo lipo kwenye maneno yako haya :
Al Khawarizmi kama ilivyo kwa wanasayansi wengine waliongeza tu maarifa katika tasnia zilizokuwepo kwa wakti wao, hawakubuni hisabati wala internet. Walikopi kazi za wengine, kutafsiri na kuongezea kidogo. Ukiangalia historia ya falme za kale mashariki ya kati ni kwamba kwa zile falme zilizoona umuhimu wa maarifa, waliajiri watafisiri wa lugha mnbalimbali ili watafsiri kazi mbalimbali za kisayansi kutoka kwa powershouses za wakati ule zikiwemo kazi za Kigiriki, Kihindi na Kichina,to mention a few, sasa kusuggest kwamba Wasilamu au Waarabu kama ndio vinara wa sayansi au hisababti wa wakti ule, is sheer nonsense in itself.
Majibu yangu na ya John hapo juu ni kwa vile wewe na wenzako mara nyingi munapenda kujikweza na kuubeza uislamu kama kwamba watu wake ni mazezeta.Mara nyingi mnajaribu kuonesha watu wa madrasa ni watu wajinga wajinga tu.
Majibu yako kuhusu Alkhawarizmi na umuhimu wa sifur ni kama kwamba umekubali mchango wa waislamu katika maendeleo ya sayansi.Sasa kipi kinakupa taabu kuwaheshimu waislamu waliovumbua vitu hivyo au kuviendeleza.Wazungu na makampuni makubwa ya kompyuta hawakosi kuwataja watu hao lakini wewe kwa chuki zako za kijinga lazima ujizungushe huku na huko.Hizo zako si tabia za kisomi kabisa,ni ujinga zaidi.Sitoshangaa mtu kama wewe kusikia kwamba huna radhi za wazazi wako baada ya kuwadharau ulipojiona una afya na kipato kuliko hao waliokuzaa.
Fikiria kama si juhudi za kutafsiri na kuzikushanya hizo elimu zingepatikanaje huko Ulaya?.
Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.
Mimi nadhani wewe una matatizo ya kufikiri. Kwanza kumbuka kuwa Nyerere alichukua shule za wakristo Mpwapwa, ILBoru, Kigurunyembe morogoro, Hosptali kama Mhimbili, KULE MWANZA zote zilichukuliwa toka kwa Wakristo ili watz wawe moja. Na mwislamu kama wewe uweze kusoma na kuandika email kama unavyofanya sasa. Bahati mbaya unaandika uwongo. Wakristo wange lalamika shule zote na hosp zote hizo zirudi kwao nchi nzima itakuwaje? Maana ni nyingi sana kila mkoa kuna shule/hosp ilikchukuliwa IKIWEPO KIBAHA SEC nk. Tafakari.
Waarabu koko wa kaskazini na Uislam wao ni wabuguzi wa kutupwa against Christians na Animists wa Souther Sudan na Darfur region.
Hili sio suala la Wazungu,ni Waarabu (koko) na Waafrika dark skinned.
Tukumbuke kipenzi cha Waislamu Osama Bin Laden aliishi Sudan kwa wakati,na sisi mwaka 1998 wakati wa DAR bombing ,mambo yalipikiwa na waarabu wa huko
Katika picha hapo chini ni Omduruman maeneo ya Pembeni ya Khartoum kaskazini ya Sudan.
Niambie ni nani mwafrika hapo na ni nani mwarabu.
Na baadhi ya Waafrika na baadhi Waafrika wa Tanzania sio Wabaguzi? Racism has no boundaries ila kuna maradhi ya kuuona tatizo wa wengine tu?? Nani waliochinjana Rwanda na Burundi na Kenya? Mnaaona doa msilolifahamu. Tatizo ni simple divide and rule and suck. Sudan inagawika kwa sababu za kiuchumi tu. Haya nyinyi makipata mafuta mtamegeka tu! Wengi wanaochanjia hawana hata elimu ya watu wa Sudan na issues bali kuyopokwa ovyo tu! Enjoy wasting your time!
Hamna kitu kama hicho kwani Angola, Gabon, Equatorial Guinea, Libya, na nyinginezo zinazotoa mafuta zimegawika, msijifanye hamuoni kinachoendelea Sudan.
Ntaanza na nchi moja tu uliyoitaja. Hivi kweli hujui kuwa zaidi ya million moja walikufa Angola wakipigana wao kwa wao?? Zingine research wewe utapata jibu
Sasa rafiki yangu ina maana hujui tofauti ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na nchi kugawanyika. Awali ulisema kinachoigawa Sudan ni sababu za kiuchumi (mafuta) ndo nikakupa mifano ya nchi zenye mafuta lkn hazijagawanyika.
Sasa kuhusu suala la Angola ilikuwa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo sababu kubwa ilikuwa ni ukabila na vita baridi, civil wars zimetokea ktk nchi nyingi sana zisizokuwa na mafuta refer Spain, Marekani, Ireland, Somalia, Msumbiji n.k,
Na kama swala la sudan ni la kiuchumi kulikuwa hakuna haja ya kuigawa Sudan badala yake wangeiondoa serikali ya Bashir na kuiweka kibaraka wao, au unadhani Sudan ina nguvu kuliko Serikali ya Sadam Hussein!
Ukweli ni kuwa kwa nchi inayoangalia maslahi ya kiuchumi ni rahisi mno kuiondoa madarakani serikali kuliko kuigawa nchi, ndo maana kwenye nchi kama Afghanistan na Iraq wameziondoa serikali na sio kuzigawa nchi. hivyo suala la sudan kusini lipatie uzito unaostahili kama kweli wewe ni mwafrika na usidanganywe na propaganda za waarabu na vibaraka wao kuwa mataifa ya magharibi ya mkono wao kwa maslahi yao, maslahi yao ktk sudan hayana uhusiano wowote na mateso ya waafrika kutoka kwa waarabu.
Hapa siwaoni waafrika wenye nywele za kipilipili nawaona waarabu koko tu. naomba unapoongelea waafrika uwe unajua maana ya mwafrika. Kama hujui katafute maana ya mwafrika kama alivyoitoa chief Awolowolo inayotumiwa zaidi na Pan Africanism, lakini kama unfikiri kila mtu mweusi ni mwafrika umekosea maana hata wahindi wapo weusi wabangladesh na Papua new Guinea ni weusi lakini sio waafrika maana hawana nywele za kipilipili.
kama unatumia picha tu za kwenye internet huwezi kujua vizuri tofauti kati ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan ila kama umewahi kufika sudan basi tofauti unaijua. Na hata hivyo nimekusaidia kukuelewesha kwa kukwambia angalia picha ya Al Bashir na Salva Kiir utaona tofauti yao, hiyo ni njia ambayo inatumiwa kumwelewesha mtu ambaye ana uwezo mdogo wa kuelewa mithili ya taahira lakini kama hiyo pia umeshindwa kuona tofauti basi inahitajika mjadala wa kitaifa kutafuta njia ya kukuelewesha.