Njaa Yaikumba Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njaa Yaikumba Marekani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Acha Uvivu, Aug 11, 2012.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bei ya nafaka imepanda zaidi huko Marekani kuwahi kutokea baada ya kipindi cha miaka 15. Mahindi, ngano, soya vyakauka kwa kukosa mvua na joto kali.
  Ban ki Moon na Rais wa benki ya dunia wakutana kwa dharura kujadili baa la njaa linaloweza kutokea, hasa kwa nchi masikini.
  Source: presstv
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Haya wabeba Box rudini nyumbani!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,378
  Trophy Points: 280
  tena nitafurahi kusikia kuwa na kipidupindu imeingia hadi chumbani kwa Obama
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  presstv mimi siwaamini ni ya wairani, tumsubiri Nyani Ngabu for confirmation
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi tu nimetoka kula habanero bbq'ed chicken wings na waffle fries halafu nikashushia na 100% pomegranate-blueberry juice.
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  jamaa wanalinganisha njaa mbili tofauti
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu, ufalme wako utuibukie kiaina maghetoni, unachotaka kifanyike gheto kama skani kwako, utupe leo Mapiza, Mabaga, Machips kuku na Mazagazaga kibao... Tuchukulie poa tukichemka, kama sisi tunavywachukulia poa wanaotu-snitch!!
   
 8. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wasiwasi utakuwa kukosa chakula nchi kama Somalia, Malawi, Zimbabwe, Kenya (north), n.k
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,598
  Likes Received: 12,872
  Trophy Points: 280
  siku za mwisho kutakuwa na njaa uchumi utatetereka dunia nzima lol
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huu mwaka so ngoja nikusanyee nafaka za kutosha!
   
 11. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba uniazime mshiko kidogo nami nikusanye kumridhisha mama watoto. Asije nipiga kibuti njaa ijapoingia home.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: hapo umegusa wengi aisee huku chakula kipo cha kumwaga.. Juzi nilikua naongea na ofisa mmoja wa ubalozi wa marekani ambae mda wake wa kufanya kazi hapa umeisha anarudi nyumbani kwao washington dc akawa anasema kua anaondoka lkn atarudi coz anataka kuishi hapa.. Bongo ndio sehemu ya kuishi.. Nimekua nawaambia sana wakimbizi wa kibongo wanaoishi states kwenye international forum kua warudi bongo kubeba maboksi hakuna dili tena
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Haswaaa!
   
Loading...