Mangi Moshi
Member
- Jun 21, 2011
- 22
- 11
Huyo limbukeni!!Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.
no finance,no romance

Mm kuagiza sio ishu,ila anakuja na mwenzake wanankamua halafu mm nakamua mmoja,na yule mwingine amekula vya burebure huwa natamanigi nianze kulimana na huyo mwenzake ,hii stlye kuja wawili sijui imetoka wapi jamani ?[/QUOTE]
DAH MKUU UMENIACHA HOI HA HA HAAAAAAAA
Baba Enock, heshima yako nimeishusha, yaani mkeo unamuita vuvuzela!!!!!!!!! khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! nilikuwa nasikiaga watu wanasema mitaani sasa hii ni live bila chenga, hebu futa jina hilo harakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Mimi ninapokuwa na mahusiano (ya pembeni maana tayari nina vuvu.zela ndani) na msichana huwa najisikia kama anipenda asipo nipiga mizinga!!!