Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

Nikikwama kabisa watu ambao huwa wakwanza kuwatafuta kwa simu ni mamanzi. Hawa huwa wana huruma wananiokoa fasta, hususani nikiwaga nacho huwa sinaga hiyana. Hata nikikwama wanajua nimekwama.

Ila nihitimishe kwa kusema ukiona mwana amekutafuta umpige tafu hata buku tano aisee kama unaweza fanya hvyo.
 
Mimi muda huu ndio napitia kwenye hiyo hali..

Yaani leo asubuhi nimetoka kwenda kwenye kibarua fulani hv, asubuhi sijapata breakfast!

Nimerudi gheto hapa tangu saa 7 nimekuta jamaa ninaye-share nae gheto hayupo halafu kafungia unga ndani na simu yake haipatikani.

Mara ya mwisho kula ilikuwa jana saa 10 (huwa nakula muda huo tu basi endapo asubuhi nikipata breakfast).

Leo niliacha kupata breakfast kwa vile nilijua nitawahi kurudi kutoka kibaruani.

Maamuzi yaliyonijia ghafla ilikuwa nivunje kibubu changu nachowekaga buku buku zangu ili nipate kwenda kula lakini kwa bahati mbaya nacho kimefungiwa.

Najaribu kujisahaulisha hii njaa kwa kuperuz hapa JF lakn wap!

Bila kibubu leo kufungiwa ningekivunja, SHIKAMOO NJAA!
 
Kuna kipindi nilipitia hali mbaya hatari, nina buku tu, bahati nzuri geto nlikua na unga kidogo na sukari. Maji yenyewe ilikuatatizo yalibaki kidogo kinoma.

Nikanunua mkate wa buku, nilkua nakula kidogo kidogo na uji ili nisife njaa wakati natafuta namna.
Mkate ulinihurumia kwa siku kadhaa hadi nlipopata ankara kidogo
 
Siku moja nikiwa bado kijana wa makamo hivi,usiku ulipofika si nikanunua mihogo ya kukaanga.Bwana we kufika home nikasema nimeshiba,basi chakula wakala na kukimaliza chote kwa maksudi.Kimbembe katikati ya usiku tumbo likaanza kusoma empty empty we nikavumilia we lakini wapi.Nikaona nisije kufa kibudu si nikalia kwa sauti yes ,mom akaja kunigongea mlango na kuniuliza tatizo.Nikamwambia njaaa inauma,
Sasa si akawiata wengine wakaja kunicheka eti dume zima nalia njaa,nikapikiwa chai ya maziwa nikanywa ndo nikalala hivyo.
 

Hauko serious mkuu
 
Daah pole mkuu ni mapito
 
Hahahah
 
Da kuna mapito nilipita mwaka 2018 sitasaha hapo ndio najua rafiki wa kweli mi yupi na mpenzi wa kweli nilipata kesi kazini nikatumia hela yot kusolve kimbembe sasa ni mama yangu mzazi ni mgonjwa kapooza nusu upande ...ili bidi nijifunze kupika maandazi tulawa tunashindia hayo hadi nilipopata muujiza kuna mtu alikosa kutuma hela akatuma kwenye mpesa yangu 280 k faster nikaitoa nikanunua mhitaji ...nikamuahidi kumlipa mwiaho wamwezi mshahara ulivyotoka nikamlipa nusu
 
Aiseee
 
Ukaludisha mpira kwa kipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…