Njaa mbaya, Prof Kabudi kutetea wauaji

Njaa mbaya, Prof Kabudi kutetea wauaji

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,957
Professor Kabudi sasa ni wakili wa wauaji wa Oct 29

Kabudi.jpeg
 
Napenda pia iwe hivyo.
Swali langu wito huo ni lini anaenda? na hiyo nakala ya wito iko wapi?
 
Professor Kabudi sasa ni wakili wa wauaji wa Oct 29
Nilitegemea ungefafanua ni wakili wa wauaji kivipi,?, Prof Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, ni Professor wa sheria aliyehudumu kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amepika maelfu ya wanafunzi , nikiwemo mimi, huwezi kumvunjia heshima kumuita wakili wa wauaji bila kuufafanua uwakili kivipi na wauaji gani. Huku sio kumtendea haki mwalimu wetu.

P
 
Kumbe ndio maana.

Asee nilikua najiuliza maswali mengi sana lakini leo umenijibu vizuri.

Asee hongera kwa kufundishwa na huyu jamaa, ulifundishwa ukafundishika.

Cc; nikki wa pili(weusi)
 
Profesa wa majalalani
ni aibu sana profesa kuwa chawa tena wa kijani!
 
Nilitegemea ungefafanua ni wakili wa wauaji kivipi,?, Prof Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, ni Professor wa sheria aliyehudumu kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amepika maelfu ya wanafunzi , nikiwemo mimi, huwezi kumvunjia heshima kumuita wakili wa wauaji bila kuufafanua uwakili kivipi na wauaji gani. Huku sio kumtendea haki mwalimu wetu.

P
Wee mzee sometimes uwage hata na chembe ya aibu au haya.
Hujistukiii??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom