Njaa mbaya, Prof Kabudi kutetea wauaji

Njaa mbaya, Prof Kabudi kutetea wauaji

Professor Kabudi sasa ni wakili wa wauaji wa Oct 29

View attachment 3528865
Wakiki gani ambae hakuwai hata kufaulu mitihani ya Uwakili nchin (Bar Exams)?

Anayemuamini kabudi kuwa Wakili bora anajidanganya sana na atarajie tu kuangukia pua maana kabudi hakuwahi kufaulu mitihani ya uwakili. Alipata uwakili kwa kupewa maada ya kuwa amidi wa kitivo cha sheria cha Chuo kikuu cha Dsm.
 
Nilitegemea ungefafanua ni wakili wa wauaji kivipi,?, Prof Palamagamba John, Aidan Mwaluko Kabudi, ni Professor wa sheria aliyehudumu kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amepika maelfu ya wanafunzi , nikiwemo mimi, huwezi kumvunjia heshima kumuita wakili wa wauaji bila kuufafanua uwakili kivipi na wauaji gani. Huku sio kumtendea haki mwalimu wetu.

P
Ndiyo huyu Profesa wenu kipindi cha JPM alisema "ametolewa jalalani", au nimechanganya!!
 
Kwahio kwa habari hizi ni wazi imedhibitishwa' kua kesi imefunguliwa mahakama ya kimataifa ya ICC ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom