Wakati wanajisifia kuwa mkoani kwao hawataki upinzani kabisa na ndio maana wameshinda kwa 99% walikua hawajui mkoa wao huwa unapatwa sana na mabaraa ya njaa ?Toa solution tufanyaje kuwasaidia sio kuanza kumpoint mtu atoe wakati tupo Watanzania kibao na miongoni mwetu wapo wenyepesa nyingi.Tuungane tuwasaidie wenzetu
hahahahaha you made my day😳😳😳😳😳Acheni tu wale washibe maana hakuna namna,wakimaliza hao wadudu waaze kula hizo kofia,t-shirts ,kanga na madela.
Jana niliona kwenye tarifaa ya habari Itv yani kila mwananchi aliyekuwa anaojiwa alikuwa na sare ya ccm kama si kofi kitamba nilichoka
hahahahaha you made my day😳😳😳😳😳
endelea kuchekeleaaaaaa by the way mbavu zinakuuma kwanini?Hii falsafa ya Flora Msoffe imeniacha sina mbavu bila kutarajia
endelea kuchekeleaaaaaa by the way mbavu zinakuuma kwanini?
sio mie niliyesema aliyesema kanifanya nimecheka saaaanaMapishi ya kofia za chama chetu 😀 patamu hapo rudia tena
sio mie niliyesema aliyesema kanifanya nimecheka saaaana
hahahaha tupo pamojaOh!!! so sorry basi nilioverlook, yawezekana hii version mpya ya JF imeniingiza chaka
Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?
Inasikitisha sana kwa kweli!
Yaani Lowassa ndo awe anawalisha? uuuuwiii! Kwanza walichagua ccm.Baada ya kuwaza jinsi gani serikali ya ccm itawasaidia wewe unamuwaza Lowassa tu, akili nyingine ni tatizo
Serikali inashindwaje kupeleka chakula sehemu kama hizo?..wakati mivyakula inayozalishwa mikoa mingine hadi inapelekwa nchi jirani!!!Ccm inaungwa mkono sehemu zenye dhiki kubwa , iko hivyo .