Niyonzima atua Simba

Niyonzima atua Simba

Status
Not open for further replies.
Tusubiri tena utasikia Frank Domayo ajiunga na Simba kwa mkataba wa miaka 4
 
Mambo ndo hayo kaka. Utaisoma namba ya Yanga.......... hata wakati wa njaa si ilikuokoa?
 
Mfalme Daudi aliandika: 'Nalikuwa kijana sasa ni mzee, sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake wakiomba mkate barabarani'. Nami M. Matale nilikuwa kijana sasa ni mzee, sijawahi ona mchezaji wa Yanga anayehitajika klabuni amechukuliwa na Simba bali nimeshuhudia Yanga ikiinyanyasa Simba kwa kuchukua wachezaji wao tegemeo viz. Method Mogella, Akida Makunda, Said Maulid, Athuman Idd, Nurdin Bakari, Kelvin Yondan just a few to mention.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom