Michezo gani ya Kimataifa Niyonzima anaitaka; kitendo cha yeye kuwa Tanzania tayari anakua mchezaji wa kimaTaifa; siyo kama hao hakina Msuva, Bahanuzi pamoja na Dumayo wanaotafuta pakutokea......Niyonzima yeye anacheza mpira popote pale iwe Simba, Mgambo hata Tabora Rangers.Yanga bab kubwa mchukueni muone maangamizi..muanze upya ujenzi wakikosi,kwanza sidhani kama atathubutu kucheza tim ambayo msimuujao mashindano yake makubwa ya kimataifa ni kagame hatahuko kwenyewe future is not clear kwasimba
habari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote.
Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya yanga kumsainisha mrisho ngassa na kuongoza msafara ya kulipa kisasa, hii inatokana na yanga kuiona simba kama shamba la bibi kwa kwenda kujivunia wachezaji kama wanavyotaka, sasa ni muda wa kuchukua hatua .
stay tune more to follow....
acha mkwara wa bin kleb mkuu
.....Jangwani patakua hapatoshi, ila itakua fundisho kwa Yanga; kwani wamezoea sana kuwalubuni wachezaji wa Simba kila msimu. tangu enzi za Saidi Maulid, Athuman Idd,.............Yondani na Ngasa msimu huu....walishindwa kabisa kuifunga Simba uwanjani wakaanza kutafuta mbinu za kuwabomoa kuwapunguza makali, lkn kwa ujanja wao umeishagundulika tayari na wao yataanza kuwakuta tena Makubwa.Natamani hii habari iwe ya ukweli.
Kwanza Yanga tuna Mpango wa Kuinunua Simba
yah nimezipata pia hizi, ametua kwa milioni 200! na kapewa nyumba dubai chezea malkia wewe! Bin Kleb anaweweseka sasahabari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote.
Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya yanga kumsainisha mrisho ngassa na kuongoza msafara ya kulipa kisasa, hii inatokana na yanga kuiona simba kama shamba la bibi kwa kwenda kujivunia wachezaji kama wanavyotaka, sasa ni muda wa kuchukua hatua .
stay tune more to follow....
Confirmed!
Niyonzima amwaga wino msimbazi.
Ni Niyonzima wa timu ya daraja la 4 ya VIGWAZA FC.......
Sorry wakuu nimekosea njiani.yah nimezipata pia hizi, ametua kwa milioni 200! na kapewa nyumba dubai chezea malkia wewe! Bin Kleb anaweweseka sasa
yah nimezipata pia hizi, ametua kwa milioni 200! na kapewa nyumba dubai chezea malkia wewe! Bin Kleb anaweweseka sasa
habari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote.
Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya yanga kumsainisha mrisho ngassa na kuongoza msafara ya kulipa kisasa, hii inatokana na yanga kuiona simba kama shamba la bibi kwa kwenda kujivunia wachezaji kama wanavyotaka, sasa ni muda wa kuchukua hatua .
stay tune more to follow....
Msomaliii msomali na mpira wapi?View attachment 94865