Niwowe nisiwowe

Hadith hadithi! Kuna dada 1 alimpenda sana mkaka 1 lkn kibaya huyo kaka hakumpenda yule dada alfanya kila njia ili hampate lkn hakuhambulia kitu ikabidi huyo dada haende kwa mganga,mganga akamwambia subiri mwenyewe atakuja mwenyewe yule dada akasubir siku ya kwanza ya pili ilipofika ya tatu akashangaa yule kaka anakuja na kitambi NINA MIMBA YAKO NIKUWOWE NISIKUWOWE yule dada pumbafu ulikuwa unaringa nn sasa mambo sindio haya...na hadith kwisha hadith hii inatufundisha nn?
Hapa si kindergatten
 
Back
Top Bottom