Fatherland
Member
- Oct 21, 2025
- 6
- 9
Yapo yale ya upana wa sentimita 90, bei yake itakuwa chiniMmh!?,napenda sana hii kitu lakin kwa hyo bei hapana,ntatengeneza la kawaida la vigae
Hongera.Hii nilimwekea mama yangu mzazi alikua ana matatizo ya mgongo kuuma , ilimsadia sana kurelax , hivyo sio ufahari ni matibu na pia inasaidia kupunguza msongo wa mawazo.
AsanteHongera.
Ndio, hiyo ni target yangu tu kumuonyesha muuliza swali nini nataka. Ila mimi hata plasta sijapiga.Kwamba ni picha za kudanilodi au