Niweke Jacuzzi au ni ufahari?

Niweke Jacuzzi au ni ufahari?

Bafu la Master Bedroom lina nafasi ya kutosha. Ninaweza kuweka kila muhimu ikiwemo sehemu ya mashine ya kufulia nguo.

Moyo unaniambia niweke Jacuzzi, akili inaniambia acha ufahari, utafanyia nini cha maana?

Hebu tushauriane hapa wakuu
Nyumba yako, hela zako, is it their business?!
Weka hata helicopter pad!
 
Muda wa kukaa kwenye jacuzzi unao?

Niliweka bathroom lakini ni kama urembo tu, bathtub na jacuzzi ni mbanga za kike sana

Mara chache sana na shemuako tunainjoi pamoja
 
Back
Top Bottom