Niwape angalizo na mlichukulie hatua Serikali

Serikali inajuwa?

  • 1

  • 2

  • 3


Results are only viewable after voting.

Michael mbano

JF-Expert Member
Apr 4, 2022
820
567
Msimu wa kuuza mahindi unakaribia nimesema mahindi mana huku ndiko kwenye purukushani.

Wakati huo kunakuwa na vimipenyo vingi vya rushwa kwa wenye vitengo vya kupokea mahindi ktk magodawni ya serikali, pia unakuta nafasi ya vikundi vya wakulima kupeleka mahindi kwa kipaumbele lakini hakuna tofauti na mtu binafsi yani mtu binafsi anaweza kupeleka hata tan 50-100 peke yake.Kikundi chenye tan 80 hakipati nafasi kwa wakati.

Maturubai ya serikali baadhi ya maeneo hukodishwa nje hili hupelekea uchakavu mana utunzaji hafifu.

Ajabu zaidi baadhi ya maeneo kunakuwa nafasi ya walemavu kuuza mahindi halafu anatokea mtu mmoja mara nyingi huwa makada wa chama fulani wanachukuwa nafasi hizo na kama wakipata walemavu hao ni kidogo.

Naomba serikali iwe makini mwaka huu iwaangaliye wakulima wameumia kwenye pembejeo serikali iongeze bei mwaka huu.
 
Back
Top Bottom