Huyo mwanamke wala huna cha kumfanya, labda sijui umefikiria nini kusema ateseke. hatuwezi kuingia akilini mwako. Labda mwanaume ndo anaweza kuteseka kwa kuwa utamuacha wakati hajatarajia. Hata hivyo inategemea na akili ya mwanaume. Wengine ukiondoka ndo bye bye wala hakutafuti, especially kama anajiweza kiuchumi, na kama ana mental maturity ya kudeal na wanawake. Mimi wa kwangu siku akijaribu hivyo ndo bye bye forever.Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..
Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).
Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...
Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.
Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)
Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...
Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...
Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..
Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..
Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))
....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..
je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Pole kwa changamoto unayopitia, lakini kabla sijatia neno naomba kunukuu;Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Hii kesi ya ndoa huwezi tolea mamuzi kwa kusikiliza upande mmoja tu hasa wa kike ndomaana nikaomba akutane na mtu wa busara baina yao ili wakae wayazungumzeKwa maelezo hayo hakuna kitachobadilika hapo, ni aidha kila mtu aangalie upande sahihi kwa mustakabali wa maisha yao na familia yao kwa ujumla.
Mama wa kambo wanatesa sana.Naona watu wengi wanakupinga hapo kwenye kuacha watoto. Mimi nakuunga mkono kwa asilimia mia moja
Uko sahihi.Hii kesi ya ndoa huwezi tolea mamuzi kwa kusikiliza upande mmoja tu hasa wa kike ndomaana nikaomba akutane na mtu wa busara baina yao ili wakae wayazungumze
Kwani kakwambia anataka kuwa tofauti?Mama wa kambo wanatesa sana.
Bora ulelewe na baba wa kambo kuliko mama wa kambo.
Ubinafsi ndio unaosababisha wa mama kutelekeza watoto wao
anaona yeye ajiondoe kwenye mateso ili mateso ya hamie kwa watoto.
Sasa anautofauti gani na mumewe?
Ila akileta kesi mwanaume mwenzenu komenti za kumshauri zinafika 1kHii kesi ya ndoa huwezi tolea mamuzi kwa kusikiliza upande mmoja tu hasa wa kike ndomaana nikaomba akutane na mtu wa busara baina yao ili wakae wayazungumze
Sahihi kulingana na fikra zakoIla akileta kesi mwanaume mwenzenu komenti za kumshauri zinafika 1k
Hapo kwe huduma hapo.. mKama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !
Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !
Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha fasta
Kama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !
Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !
Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha
mAHITAJI ya MSINGI ya ndani kama chakula ananunua vingine tunachangia ,Kama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !
Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !
Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha fasta
Hapo kwe huduma hapo.. m
mAHITAJI ya MSINGI ya ndani kama chakula ananunua vingine tunachangia ,
Watoto wanasoma dear mmoja Bado mdogo hajaanza shule.nikiwachukua nitavuruga utaratibu wao na kwasasa nitakua Sina pa kuwaweka sijaandaa mazingira .. ..pia baba aone umuhimu wangu ...alishawahi kutamka "kulea kitu gani" kwahiyo zamu yake imefikaSijui nikushauri hapo uliposema hautaki ushauri? Nakushauri hivo hivo utajua mwenyewe.
Pole sana kwa changamoto hiyo sis, ila watoto wana umri gani? Ila kwa miaka kumi ya ndoa hao watoto itakuwa bado wadogo. Usiache watoto kama unaondoka. Hao watoto bado hawajaweza kujitegemea na usitegemee watapata malezi mazuri kwa mama wa kambo.
Una kazi , una biashara beba watoto uende. Ila pia fuatilia kuhusu taratibu za talaka. Achana na mambo ya kumfanya aumie au kulipa kisasi. Kuondoka kwako ndicho kisasi chenyewe.
Basi kama anahudumia ...mvumilie....tafuta ushauri wa watu wazima ...ikiwezekana wasimamizi wenu...... usiondoke na kuwaacha watoto wateseke kisa msg za simu..... huo ni wivu wa kijinga, watoto wako watateseka !!!!!
Again mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja ni ngumu sana..... mitego iko kila mahali kuanzia ibadan huko, mitaani na makazini...kikubwa akuheshimu na ahudumie familia yake..... usimvunjie heshima, tafuta namna nzuri ya yeye kujua kuwa unajua anachepuka.... tatizo umepaniki , umejaa roho mbaya, unataka utelekeze watoto na kisasi ulipe...hapo unakosyule
Kushika simu muhimu bwana ..ningejuaje kama anawanawake nimefupisha tu hapo ni zaidi ya mmoja .mwanaume achepuke ila asilete madharau ndani .ukiacha chakula na sex Sina chochote anachonioffer zaidi ya MAUMIVU tuKama anakuhudumia wewe na wanao una shida gani ? Hakuna mwanaume wa kurizika na mbunye moja ....Sahau kabisa ! Zinakinaisha !
Alafu ukute wewe ni zile type jamaa akitaka mara nimechoka, ooh sijisikii vizuri ....ukimpa umemsusia .... Wewe ishi maisha yako, kama anaitambua na kuijali family yake [yenu] kaa kimya !
Alafu unashikaje simu ya mwanaume wako ? Utakufa kwa Kiroho.... mwanaume huwezi kumlinda yani, akienda hata bar anainamiwa chooni anapewa kimoja cha fasta
Kwanini yeye aumize wengine? Yeye ni Bora sana KULIKO wengine?Chuki humuumiza aliyeibeba! Kama unasepa wewe sepa ila usijipe adhabu ya kutaka kuwaumiza waliokusaliti.
Ukiona watu wameachana kirafiki/kimapenzi halafu mmoja kila siku mapovu yanamtoka basi jua anayetokwa na mapovu ndio kaumizwa na alipendA sana.
Ukimove on, nenda mazima ujipe amani ya moyo. Hao wanaweza wasiteseke vilevile sababu Mungu hatoki kijijini kwenu.
Mwajiriwa na kumiliki PESA nyingi wapi na wapi๐ ni za kula tu mkuu labda akope baaasNdoa huiwezi ondoka.
huwezi kuwakomowa watu walio mapenzini kwa zaidi ya miaka minne.
Hao watoto mimi ndio walionifanya mpka nikoment hapa!.
Je una mpango gani wa malezi ya hao watoto baada ya kuondoka hapo???
Mazingira umeyatengeneza au unakurupuka kuondoka???
Hapo unaenda kuumiza viumbe visivyo na hatia.
Achaneni, lipiza kisasi lakini watoto hakikisha umeandaa mustakabali mzuri wa malezi yao...
NB;;
Mumeo ana pesa?? sio za kula na kuvaa!!!! ana miliki pesa nyingi ukwasi??? nijibu hapa nikupe ushauri.